Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Nimependa tu hapo kupanuliwa! Mengine nawaachia makapuku wenyewe maana hakuna namna nyingine!Wewe umeshapanuliwa? Tuanzie hapo.
swissme
Ha haaWewe umeshapanuliwa? Tuanzie hapo.
swissme
Hahahaaatunasemaga...
Dah... hata ukiweka kinyesi hapa na pale ukaweka maua..... kwa akili yako unadhani nzi watafurika wapi??πππ
LolWewe umeshapanuliwa? Tuanzie hapo.
swissme
You made my day my boss!!!!!Naangalia tu unavyotoa povu ukijaza kisado nitarudi kukuwekea simtank nalo lijae halafu
nitakupa maji ya KAPUKU unywe yakupoze
Endelea tu
Una nyota ya mapovu(Bushstar)
NO KICK
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Presider ila ujue mimi ni bibi vile ila ni kapuku pia. Kapuku hana umri ila muda wa kujoin JF otheriwise we are on the same level. I love Kapuku forum. You go there to reduce your stresses. oyeeeeeeee.Hata waje na shombo za aina gani sisi HATUTUKANI.......tunawapa tu makavu yaliyoenda shule ili kudhihirisha kwamba wao ni mababu jinga .....
Na washaruita sisi watoto tumezoea basi watuache tuufurahie "utoto" wetu kwani kinawauma nini