Katika zama hizi ukiwa na kipato cha kukuwezesha kulala pazuri, kuvaa vizuri, kula vizuri na kunywa kwa mwezi, halafu upo singo ni vema uishi peke yako tu. Utapata kila wanachokipata watu walioko kwenye ndoa.
Kama ni mdada utajipamba vizuri na utaonekana na wanaume kisha watakupa huduma ya mgegedo.
Kama ni mkaka una chenji zako.mfukoni zinazokuwezesha kutoka out, huwezi kumkosa mdada wa kutuliza hisia zako.
Ya nini kuingia kwenye kifungo cha ndoa??
Bila shaka ndoa zipo kwa ajili ya watu hohehahe, kula kwa shida, kulala kwa tabu na kila kitu shida. Hawa ndiyo wanahitaji ndoa ili wafarijiane na faraja yao inajengwa na uwepo wa watoto.