Makarani wa sensa kuigiza ni sahihi?

Makarani wa sensa kuigiza ni sahihi?

Hiyo kazi ingeweza kufanya na wajumbe wa nyumba kumi kwa kuwapelekea wananchi dodoso siku chache kabla wazijaze. Swali la tarehe 23 August ni moja tu. Swali la kwanza. Wajumbe wangezikusanya na kuzihakiki tu ndio ziingizwe kwenye vishikwambi.
Umewaza kama mimi mkuu...hayo maswal yao ni kero
 
Kazi na dawa
 

Attachments

  • IMG-20220823-WA0006.jpg
    IMG-20220823-WA0006.jpg
    62.2 KB · Views: 5
Sensa sio uchaguzi kuwa utaisha siku moja ni swala la muda mrefu maana wanachukua taarifa na pia wakiona siku saba hazijatisha wanaweza kuongeza siku kadhaa ili mradi lengo litimie...yaani watu wanalalamika hawajafika kana kwamba nj ishu ya dole gumba na kupiga tick...
 
Hii nchi ilikuwa bado haijawa tayari kuongozwa/kutawaliwa na mwanamke. Ni vile tu imetokea.
Hoja dhaifu sana hii..mtu yeyote wa Jinsia yeyote akiwa na uwezo anaweza kufanya chochote tuu mbona wapo Wanawake unaona akili zao zipo sawa kuliko Wanaume..
 
Hoja dhaifu sana hii..mtu yeyote wa Jinsia yeyote akiwa na uwezo anaweza kufanya chochote tuu mbona wapo Wanawake unaona akili zao zipo sawa kuliko Wanaume..
Inaweza ikawa hoja dhaifu kwako, halafu kwangu ikawa ni hoja yenye nguvu. Hivyo hatuwezi wote kuwa na mtazamo sawa.
 
Hiyo kazi ingeweza kufanya na wajumbe wa nyumba kumi kwa kuwapelekea wananchi dodoso siku chache kabla wazijaze.

Swali la tarehe 23 August ni moja tu. Swali la kwanza. Wajumbe wangezikusanya na kuzihakiki tu ndio ziingizwe kwenye vishikwambi.
Ujinga ni mzigo sana.Jitahidi kuficha ujinga
 
Back
Top Bottom