Makarani wa Sensa, mbona hili Swali limekaa Kibinafsi na Kiuchokozi zaidi?

Makarani wa Sensa, mbona hili Swali limekaa Kibinafsi na Kiuchokozi zaidi?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Je, unatumia Choo cha Shimo au cha Kuflashi?

Hili linahusikaje na idadi ya Watu tunaohesabiwa?

Tunakoelekea mtakuja Kutuuliza huwa tunaenda haja kubwa mara ngapi kwa Siku na ya aina gani pia.
 
Jibu lake ni fupi tu , twende ndani ukakione hicho choo changu ndipo utaweza kujua ni cha aina gani.

Akiwa jinsia ya kike ndo anafaa zaidi
 
Naona sio swali la kiduanzi kwakua wananangalia takwimu za vyoo bora wajue ni watu wangapi wana mifumo ya kisasa ya vyoo na wangapi hawana ni data muhimu kwa watu wa afya usikasirike cha msingi ni kuplan maisha yako.

Tutafte sana hela tusiwe na makasiriko maana kama una choo bora hutakasirika ukiulizwa tena utajionea fahari kuwajibu kuwa una choo standaer na cha kisasa kwhiyo uko vizuri hutapata milipiko kama wenye vyoo vya tundu unaona kimba lile paleeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom