Naona sio swali la kiduanzi kwakua wananangalia takwimu za vyoo bora wajue ni watu wangapi wana mifumo ya kisasa ya vyoo na wangapi hawana ni data muhimu kwa watu wa afya usikasirike cha msingi ni kuplan maisha yako.
Tutafte sana hela tusiwe na makasiriko maana kama una choo bora hutakasirika ukiulizwa tena utajionea fahari kuwajibu kuwa una choo standaer na cha kisasa kwhiyo uko vizuri hutapata milipiko kama wenye vyoo vya tundu unaona kimba lile paleeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]