PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Makarani Waongozaji Wapiga Kura wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, wala Kiapo cha Kutunza Siri na Tamko la Kujitoa Uanachama wa Chama cha Siasa, mbele ya Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Sumbawanga Mjini Fortunatus Conrad Lyapa leo Oktoba 25, 2025 katika Ukumbi wa Sumbawanga Sekondari. Ikiwa ni hatua muhimu kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.