Makataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Ule mkataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu.

Nilisikia DP world wanatumia mashine kushusha mizigo haraka na kwamba sisi tunapakua taratibu sana kwanini na sisi tusizinunue hizo mashine ile tupakue mizigo haraka kama DP world ?

Samia amewapa bandari yetu kwa waarabu bila sababu za msingi mkataba wa miaka kibao ni wazi huu mkataba ni wakujipendeza tu kwa waarabu na sio wenye maslahi kwa Tanzania.
 
Upo sahihi

Kwa sisi tunaotafuta riziki yetu mitaa ya Samora na Gerezani, tunaona kwa macho makavu kuwa ule mkataba wa Serikali na DPW ni wizi mtupu

Urahisi wa kujua hilo ni Bwaja Hamza Johari kuteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na ukilaza wake

Yule ndo alikuwa Kiongozi wa Timu ya Majadiliano ya Serikali iliyouza Bandari

Yule ameteuliwa kuwa AG jukumu lake kubwa ni kwenda kulinda Mkataba wa Kuuza Bandari usivuje

Huyu Hamza, Kiongozi wa Timu ya Majadiliano ya kuuza Bandari, na sasa AG ni Mzanzibar…

Waziri aliyeuza Bandari, Prof. Mbarawa ni Mzanzibar…

Rais naye Mzanzibar…

Hakuna Uwekezaji wowote uliofanywa na DPW; yan wale wamekuja na mabegi tu wakaingia mgodini kukusanya pesa.

Abdul wa Mama Abdul ndo mwenye sauti ya nwisho na operations za bandari

Menejimenti ya Shirika la Bandari inakabiliana na vitisho kila kukicha hawawezi kuhoji lolote juu ya ubovu wa huduma za DPW; yeyote anayehoji wanakula kichwa fastaa..

Amka Tanganyika, ewe Twiga mjinga uliyelala usingizi mzito, nani akuamshe???
 
26 June 2026
Harare, Zimbabwe

How Chinese mining killed Zimbabwean Trucking: Colbro Documentary

View: https://m.youtube.com/watch?v=mcjHg1EQyMU

What killed Zimbabwe’s trucking industry? In 2024, a quiet liquidation notice in Masvingo marked the fall of one of the country’s logistics giants—Colbro Transport.

No headlines. No national outrage. Just paperwork.

But behind that moment lies a much bigger story.This documentary traces the rise and fall of Zimbabwe’s road freight empire—from the golden era of the 1990s, when companies like Colbro dominated the Beitbridge–Harare corridor, to the modern takeover of logistics by vertically integrated mining giants.

As the National Railways of Zimbabwe declined, trucking became the backbone of the economy. Colbro rose to power by moving minerals across the country, surviving hyperinflation and economic collapse.

Then everything changed.Chinese firms like Sinosteel and Huayou Cobalt didn’t just invest in Zimbabwe’s minerals—they took control of the entire supply chain.From pit… to port.

By importing their own fleets and internalizing logistics, they effectively locked local transporters out of the market. What followed was not just competition—but a structural squeeze that companies like Colbro could not survive.

This is a story about more than trucking.It’s about power.Control.And what happens when a country loses its grip on its own logistics

Source : The African Signal
 
TAMU CHUNGU YA KUFUNGUA MILANGO SEKTA YA KIMKAKATI

28 March 2026
Harare, Zimbabwe

Jinsi Kampuni ya uchimbaji madini ya kutoka China ilivyoua kampuni tajwa ya Usafirishaji kwa njia ya Malori nchini Zimbabwe: Makala ya Colbro

View: https://m.youtube.com/watch?v=mcjHg1EQyMU

Ni nini kiliua tasnia ya usafirishaji kwa malori ya wazawa wa Zimbabwe?

Mnamo 2024, notisi ya kimya kimya ya kufilisika huko Masvingo iliashiria kuanguka kwa moja ya makampuni makubwa tajwa ya usafirishaji nchini—Colbro Transport. Hakuna vichwa vya habari. Hakuna hasira ya kitaifa.
Ni Makaratasi tu. Lakini nyuma ya wakati huo kuna hadithi kubwa zaidi.

Makala hii inafuatilia kuinuka na kuanguka kwa himaya ya kampuni kubwa tajwa ya usafirishaji mizigo kwa njia ya barabara ya Colbro Transport nchini Zimbabwe—kuanzia enzi ya umiliki wa biashara kwa ukiritimba wa wazawa sekta ya usafirishaji ya miaka ya 1990, wakati makampuni kama Colbro yalipotawala ukanda wa barabara maarufu ya Beitbridge - Harare, hadi kupokonywa fursa ya kushiriki usafirishaji baada ya makampuni makubwa ya madini ya China yalipodhibiti kitumbua cha kampuni wazawa ya Colbro Transport.

Shirika la Reli ya Kitaifa ya Zimbabwe ilipopungua uwezo wa kusafirisha mizigo, magari ya mizigo ya kampuni ya Colbro Transport yakawa ndiyo uti wa mgongo wa uchumi.

Kampuni ya wazawa ya Colbro Transport ilipanda na kumiliki sekta ya kusafirisha madini kote nchini, huku ikinusurika mfumuko mkubwa wa bei na kuanguka kwa uchumi.

Kisha kila kitu kilibadilika. Makampuni ya Kichina kama Sinosteel na Huayou Cobalt hayakuwekeza tu katika sekta ya uchimbajo madini tu ya Zimbabwe— bali pia makampuni haya ya China yalichukua udhibiti wa mnyororo mzima wa usambazaji na usafirishaji.

Kampuni hizo za China zilijiingiza kuanzia kwenye usafirishaji kutoka mashimo mgodini … hadi bandarini. Kwa kuagiza malori yao wenyewe China na kuthibiti usafiri wa ndani, waliwafungia wasafirishaji wazawa kushiriki fursa ya kusafirisha mizigo na madini. Kilichofuata haikuwa ushindani tu—bali ni mgandamizo wa kimuundo ambao makampuni kama Colbro hayangeweza kuishi. Hii ni hadithi inayohusu zaidi ya kusafirisha malori. Inahusu nguvu. Udhibiti. Na nini kinatokea wakati nchi inapoteza udhibiti wake wa sekta ya logistics yaani usafirishaji kwa njia ya malori.

Source : The African Signal
 
Ule mkataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu.

Nilisikia DP world wanatumia mashine kushusha mizigo haraka na kwamba sisi tunapakua taratibu sana kwanini na sisi tusizinunue hizo mashine ile tupakue mizigo haraka kama DP world ?

Samia amewapa bandari yetu kwa waarabu bila sababu za msingi mkataba wa miaka kibao ni wazi huu mkataba ni wakujipendeza tu kwa waarabu na sio wenye maslahi kwa Tanzania.
DP World wapo Uingereza wapo Belgium na huko wanajipendekeza kwa waarabu?. Njoo na hoja zenye mantiki sio hii mipasho ya chuki.

Profesa Assad kila anapotoa nondo watu wanazisambaza kwenye makundi sogozi, ameunga mkono uwekezaji uliofanywa pale TPA na hao DP World, jiulize kwanini.
 
Sisi waswahili tulipokuwa tunaendesha TPA kila siku tuliishia kubuni michongo ya wizi na kulipana posho kubwa kwa tija ndogo iliyopatikana.

Wanaokuja kueneza chuki kuhusiana na ufanisi wa TPA ni wale wanufaika wa zamani wa michongo iliyokuwepo bandarini. Hawana cha uzalendo zaidi ya kulia baada ya mianya yao ya wizi kuzibwa.

Inasikitisha kuona kanisa katoliki likiwa sehemu ya wanufaikaji wakubwa wa biashara nyingi za ajabu zilizofanyika mahali pale.
 
TAMU CHUNGU YA KUFUNGUA MILANGO SEKTA YA KIMKAKATI

28 March 2026
Harare, Zimbabwe

Jinsi Kampuni ya uchimbaji madini ya kutoka China ilivyoua kampuni tajwa ya Usafirishaji kwa njia ya Malori nchini Zimbabwe: Makala ya Colbro

View: https://m.youtube.com/watch?v=mcjHg1EQyMU

Ni nini kiliua tasnia ya usafirishaji kwa malori ya wazawa wa Zimbabwe?

Mnamo 2024, notisi ya kimya kimya ya kufilisika huko Masvingo iliashiria kuanguka kwa moja ya makampuni makubwa tajwa ya usafirishaji nchini—Colbro Transport. Hakuna vichwa vya habari. Hakuna hasira ya kitaifa.
Ni Makaratasi tu. Lakini nyuma ya wakati huo kuna hadithi kubwa zaidi.

Makala hii inafuatilia kuinuka na kuanguka kwa himaya ya kampuni kubwa tajwa ya usafirishaji mizigo kwa njia ya barabara ya Colbro Transport nchini Zimbabwe—kuanzia enzi ya umiliki wa biashara kwa ukiritimba wa wazawa sekta ya usafirishaji ya miaka ya 1990, wakati makampuni kama Colbro yalipotawala ukanda wa barabara maarufu ya Beitbridge - Harare, hadi kupokonywa fursa ya kushiriki usafirishaji baada ya makampuni makubwa ya madini ya China yalipodhibiti kitumbua cha kampuni wazawa ya Colbro Transport.

Shirika la Reli ya Kitaifa ya Zimbabwe ilipopungua uwezo wa kusafirisha mizigo, magari ya mizigo ya kampuni ya Colbro Transport yakawa ndiyo uti wa mgongo wa uchumi.

Kampuni ya wazawa ya Colbro Transport ilipanda na kumiliki sekta ya kusafirisha madini kote nchini, huku ikinusurika mfumuko mkubwa wa bei na kuanguka kwa uchumi.

Kisha kila kitu kilibadilika. Makampuni ya Kichina kama Sinosteel na Huayou Cobalt hayakuwekeza tu katika sekta ya uchimbajo madini tu ya Zimbabwe— bali pia makampuni haya ya China yalichukua udhibiti wa mnyororo mzima wa usambazaji na usafirishaji.

Kampuni hizo za China zilijiingiza kuanzia kwenye usafirishaji kutoka mashimo mgodini … hadi bandarini. Kwa kuagiza malori yao wenyewe China na kuthibiti usafiri wa ndani, waliwafungia wasafirishaji wazawa kushiriki fursa ya kusafirisha mizigo na madini. Kilichofuata haikuwa ushindani tu—bali ni mgandamizo wa kimuundo ambao makampuni kama Colbro hayangeweza kuishi. Hii ni hadithi inayohusu zaidi ya kusafirisha malori. Inahusu nguvu. Udhibiti. Na nini kinatokea wakati nchi inapoteza udhibiti wake wa sekta ya logistics yaani usafirishaji kwa njia ya malori.

Source : The African Signal

Picha pana ya mabeberu mabepari wa UAE

TOKA MAKTABA:

Prof Mohammed Hassen anasema waarab(UAE) Wana project ya mda mrefu ya kumiliki bandari zote za Afrika ikiwemo ya Dar.​

DP World wapo Uingereza wapo Belgium na huko wanajipendekeza kwa waarabu?. Njoo na hoja zenye mantiki sio hii mipasho ya chuki.

Profesa Assad kila anapotoa nondo watu wanazisambaza kwenye makundi sogozi, ameunga mkono uwekezaji uliofanywa pale TPA na hao DP World, jiulize kwanini.
Tanzania imeagukia mikononi mwa Ukoloni mamboleo ?

Imekubatia mabeberu na madalali wa ukoloni mambo leo wa nchi za ulaya, Russia, Mashariki ya Kati, Nchi za ghuba na Asia bila kujiuliza kwa kina kwa hoja tunduizi njama kubwa za mabeberu na makuadi wao.

Wasomi maprofesa wa kiTanzania UDSM, Mzumbe University n.k kimyaaa... hawafanyi wala kujitokeza majukwaa kutumia elimu yao ya juu kabisa kudadavua njama hizi kuu

26 April 2026

Port imperialism, Sudan, Israel and the gulf states - Mohamad Hassan

View: https://m.youtube.com/watch?v=QxAtxBfg8Oc

Comrade Professor Mohammad Hassan, former Ethiopian diplomat, veteran communist and a friend of Eritrean independence speaks at our Southall Seminar on Sudan.

Professor Hassan gives a weekly TV political education class and current affairs program that is broadcast to the entire Horn of Africa.

He gives a background to the geopolitics of Sudan, talks about its rich resources and history and notes that it has all the resources to be a prosperous country: land, water, oil, gold, people!

It was the biggest country in Africa. The people were prosperous before it was colonised. It could feed the world - Why should they suffer?

Above all, leadership and vision decide everything! The crime of Khruschevite revisionism limited the scope of action and vision of the Sudanese and Middle Eastern communist movement.

They lost the will and ability to fight for independence and to take the wealth and organise society for our liberation.

To that end they have embarked on a program of “port” imperialism, to control the strategic waterway of the Red Sea and its African and Arabian coastline. In this way they can dominate not only the key trading routes of the world, but the adjoining nations access to those key waterways - it is this that is responsible for the ills of the region

Source : Proletarian TV
 
Bila ya sisi kupigana wenyewe kwa wenyewe wao mambo yanakuwa magumu kiuchumi.

Bila ya hao wazungu kuwa na watu aina ya Nuruvazi, Maria Sarungi na Mange Kimambi wenye kuiharibu Tanzania kwa vipande 30 vya pesa wao wazungu mambo yao hayawezi kunyooka.

Wanachokifanya kwa kutuchonganisha ndicho walichokifanya DRC tangu miaka ya 60 walipomuua Lumumba mpaka leo hii wanapigana kule Goma wakati ardhini inatoka Cobalt na madini mengine yanayouzwa huko Asia.

Tanzania tajiri sana wazungu wanapambana kuiharibu wakitumia wanaharakati na wanasiasa wa vyama vya upinzani.
 
Ule mkataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu.

Nilisikia DP world wanatumia mashine kushusha mizigo haraka na kwamba sisi tunapakua taratibu sana kwanini na sisi tusizinunue hizo mashine ile tupakue mizigo haraka kama DP world ?

Samia amewapa bandari yetu kwa waarabu bila sababu za msingi mkataba wa miaka kibao ni wazi huu mkataba ni wakujipendeza tu kwa waarabu na sio wenye maslahi kwa Tanzania.
09 July 2026

DP World adds 700 trucks to expand GCC logistics network​

Rajiv Pillai

Rajiv Pillai
09 July, 2026
DP World adds 700 trucks to expand GCC logistics network

Image: Dubai Media Office

DP World has acquired 700 new trucks to strengthen its road freight network across the GCC, expanding its multimodal logistics capabilities as regional trade volumes continue to grow.

The investment forms part of the company’s long-term strategy to build an integrated supply chain ecosystem linking ports, terminals, economic zones and digital platforms to provide end-to-end logistics solutions for customers across the region.

The expanded fleet will support up to 35,000 truck trips per month, serving domestic and cross-border freight movements while enhancing first-, middle- and last-mile connectivity for both containerised and non-containerised cargo.

Ahmad Yousef Al-Hassan, CEO and managing director of DP World GCC, said: “This is a long-term investment in our multimodal network and the customers that trade in the GCC. As regional demand grows, we are scaling our capabilities to provide customers with an integrated network they can depend on at every stage.”

The trucks are being deployed progressively across DP World’s regional operations and will complement the company’s existing road transport network, which currently handles around 3,000 truck movements every day across the GCC.

According to the company, the new fleet is designed to transport a broad range of cargo, including general freight, vehicles and temperature-sensitive goods, while improving reliability and operational flexibility for customers.

Raveen Guliani, chief operating officer – Logistics at DP World GCC, said: “Our customers want certainty, reliability, efficiency and more sustainable supply chain solutions. The capability to move goods, containers, vehicles and perishables across our connected network of warehouses and ports provides exactly that. These new trucks are fuel-efficient and meet the Euro V emissions standard and we will explore green-energy vehicles in the future.”

The latest investment builds on a series of recent logistics initiatives aimed at strengthening regional supply chain resilience. These include the launch of fast-track bonded corridors linking east coast gateways directly to Jebel Ali Port, the establishment of a bonded corridor connecting Sohar in Oman, and expanded Red Sea routing through Jeddah Islamic Port’s South Container Terminal.

DP World said these initiatives have enabled the movement of more than 350,000 twenty-foot equivalent units (TEUs) overland following recent maritime disruptions, helping customers maintain cargo flows despite global shipping challenges.

By expanding its road freight capabilities, the company aims to provide greater certainty, flexibility and efficiency for businesses moving goods across the GCC, while reinforcing its integrated port-to-door logistics offering
 
DP World yaongeza malori 700 ili kupanua mtandao wake wa usaforishaji nchi za GCC​

Rajiv Pillai

Rajiv Pillai
09 Julai, 2026
DP World yaongeza malori 700 ili kupanua mtandao wa vifaa wa GCC

Picha: Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Dubai

DP World imepata malori mapya 700 ili kuimarisha mtandao wake wa usafirishaji wa mizigo barabarani kote nchi wanachama wa guba GCC, ikipanua uwezo wake wa usafirishaji wa njia nyingi huku idadi ya biashara ya kikanda ikiendelea kuongezeka.

Uwekezaji huu ni sehemu ya mkakati wa muda mrefu wa kampuni wa kujenga mfumo ikolojia jumuishi wa ugavi unaounganisha bandari, vituo, maeneo ya kiuchumi na majukwaa ya kidijitali ili kutoa suluhisho za vifaa vya kila aina kwa wateja kote katika eneo hilo.

Meli zilizopanuliwa zitasaidia hadi safari 35,000 za malori kwa mwezi, zikihudumia harakati za mizigo ya ndani na ya kuvuka mipaka huku zikiimarisha muunganisho wa maili ya kwanza, ya kati na ya mwisho kwa mizigo iliyo kwenye makontena na isiyo na makontena.

Ahmad Yousef Al-Hassan, Mkurugenzi Mtendaji na mkurugenzi mkuu wa DP World GCC, alisema: "Huu ni uwekezaji wa muda mrefu katika mtandao wetu wa mifumo mingi na wateja wanaofanya biashara katika GCC. Kadri mahitaji ya kikanda yanavyoongezeka, tunaongeza uwezo wetu ili kuwapa wateja mtandao jumuishi ambao wanaweza kutegemea katika kila hatua."

Malori hayo yanasambazwa hatua kwa hatua katika shughuli za kikanda za DP World na yatasaidia mtandao wa usafiri wa barabarani uliopo wa kampuni, ambao kwa sasa unashughulikia takriban mienendo 3,000 ya malori kila siku katika GCC.

Kulingana na kampuni hiyo, meli mpya imeundwa kusafirisha mizigo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mizigo ya jumla, magari na bidhaa zinazoathiriwa na halijoto, huku ikiboresha uaminifu na unyumbufu wa uendeshaji kwa wateja.

Raveen Guliani, afisa mkuu wa uendeshaji - Logistics katika DP World GCC, alisema: "Wateja wetu wanataka uhakika, uaminifu, ufanisi na suluhisho endelevu zaidi za mnyororo wa usambazaji. Uwezo wa kusafirisha bidhaa, makontena, magari na vitu vinavyoharibika katika mtandao wetu uliounganishwa wa maghala na bandari hutoa hilo hasa. Malori haya mapya yanaokoa mafuta na yanakidhi viwango vya uzalishaji wa Euro V na tutachunguza magari ya nishati ya kijani katika siku zijazo."

Uwekezaji wa hivi karibuni unajengwa juu ya mfululizo wa mipango ya hivi karibuni ya usafirishaji inayolenga kuimarisha ustahimilivu wa mnyororo wa ugavi wa kikanda. Hizi ni pamoja na uzinduzi wa korido za haraka zinazounganisha malango ya pwani ya mashariki moja kwa moja na Bandari ya Jebel Ali, uanzishwaji wa korido iliyounganishwa inayounganisha Sohar nchini Oman, na kupanua njia za Bahari Nyekundu kupitia Kituo cha Kusini cha Makontena cha Bandari ya Jeddah Islamic.

DP World ilisema mipango hii imewezesha usafirishaji wa zaidi ya vitengo 350,000 sawa vya futi ishirini (TEUs) nchi kavu kufuatia usumbufu wa hivi karibuni wa baharini, na kuwasaidia wateja kudumisha mtiririko wa mizigo licha ya changamoto za usafirishaji duniani.

Kwa kupanua uwezo wake wa usafirishaji wa mizigo barabarani, kampuni inalenga kutoa uhakika zaidi, kubadilika na ufanisi kwa biashara zinazosafirisha bidhaa katika GCC, huku ikiimarisha utoaji wake jumuishi wa vifaa vya bandari hadi mlango.
 
09 July 2026

DP World adds 700 trucks to expand GCC logistics network​

Rajiv Pillai

Rajiv Pillai
09 July, 2026
DP World adds 700 trucks to expand GCC logistics network

Image: Dubai Media Office

DP World has acquired 700 new trucks to strengthen its road freight network across the GCC, expanding its multimodal logistics capabilities as regional trade volumes continue to grow.

The investment forms part of the company’s long-term strategy to build an integrated supply chain ecosystem linking ports, terminals, economic zones and digital platforms to provide end-to-end logistics solutions for customers across the region.

The expanded fleet will support up to 35,000 truck trips per month, serving domestic and cross-border freight movements while enhancing first-, middle- and last-mile connectivity for both containerised and non-containerised cargo.

Ahmad Yousef Al-Hassan, CEO and managing director of DP World GCC, said: “This is a long-term investment in our multimodal network and the customers that trade in the GCC. As regional demand grows, we are scaling our capabilities to provide customers with an integrated network they can depend on at every stage.”

The trucks are being deployed progressively across DP World’s regional operations and will complement the company’s existing road transport network, which currently handles around 3,000 truck movements every day across the GCC.

According to the company, the new fleet is designed to transport a broad range of cargo, including general freight, vehicles and temperature-sensitive goods, while improving reliability and operational flexibility for customers.

Raveen Guliani, chief operating officer – Logistics at DP World GCC, said: “Our customers want certainty, reliability, efficiency and more sustainable supply chain solutions. The capability to move goods, containers, vehicles and perishables across our connected network of warehouses and ports provides exactly that. These new trucks are fuel-efficient and meet the Euro V emissions standard and we will explore green-energy vehicles in the future.”

The latest investment builds on a series of recent logistics initiatives aimed at strengthening regional supply chain resilience. These include the launch of fast-track bonded corridors linking east coast gateways directly to Jebel Ali Port, the establishment of a bonded corridor connecting Sohar in Oman, and expanded Red Sea routing through Jeddah Islamic Port’s South Container Terminal.

DP World said these initiatives have enabled the movement of more than 350,000 twenty-foot equivalent units (TEUs) overland following recent maritime disruptions, helping customers maintain cargo flows despite global shipping challenges.

By expanding its road freight capabilities, the company aims to provide greater certainty, flexibility and efficiency for businesses moving goods across the GCC, while reinforcing its integrated port-to-door logistics offering
Wananchi wengi wana uwezo wa kuiendesha biashara ya malori ya mizigo.
Wageni wanatakiwa wapewe leseni za biashara ambazo watanzania hawafanyi.
 
Ule mkataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu.

Nilisikia DP world wanatumia mashine kushusha mizigo haraka na kwamba sisi tunapakua taratibu sana kwanini na sisi tusizinunue hizo mashine ile tupakue mizigo haraka kama DP world ?

Samia amewapa bandari yetu kwa waarabu bila sababu za msingi mkataba wa miaka kibao ni wazi huu mkataba ni wakujipendeza tu kwa waarabu na sio wenye maslahi kwa Tanzania.
Inasikitisha na kuhuzunisha sana. Mbaya zaidi huu uzi muda si mrefu utaunganishwa na makorokocho ua ajabu ili usionwe na wengi
 
Wananchi wengi wana uwezo wa kuiendesha biashara ya malori ya mizigo.
Wageni wanatakiwa wapewe leseni za biashara ambazo watanzania hawafanyi.

Yaliyotokea kule Zimbabwe mwekezaji kununua malori yake kisha kuua kampuni ya kiZimbabwe ya usafirishaji inaweza kutokea Tanzania

Tanzania ni kitovu cha makampuni ya kitanzania ya malori kupeleka mizigo Zambia, DR Congo, Zimbabwe, Malawi, Namibia

DP World baada ya kupewa bandari na shoroba zake zote, tuishangae pale atapoagiza malori yake kibao kuchagiza ufanisi wa kupokea mizigo bandarini na kuifikisha moja kwa moja mlangoni kwa mwagiza mizigo bila kupitia bandari kavu au malori mabovu ya kiTanzania yanayoendeshwa na madereva wasiokuwa na motisha ya kazi n.k.

26 Juni 2026
Harare, Zimbabwe

Jinsi kampuni ya uchimbaji madini wa China ilivyoua kampuni kubwa ya Usafirishaji wa Malori wa Zimbabwe: Makala ya Colbro

View: https://m.youtube.com/watch?v=mcjHg1EQyMU

Ni nini kilichoua tasnia ya malori ya Zimbabwe? Mnamo 2024, notisi ya kimya kimya ya kufilisi huko Masvingo iliashiria kuanguka kwa moja ya kampuni kubwa ya usafirishaji nchini humo—Colbro Transport
 
Back
Top Bottom