Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Upo sahihiUle mkataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu.
Nilisikia DP world wanatumia mashine kushusha mizigo haraka na kwamba sisi tunapakua taratibu sana kwanini na sisi tusizinunue hizo mashine ile tupakue mizigo haraka kama DP world ?
Samia amewapa bandari yetu kwa waarabu bila sababu za msingi mkataba wa miaka kibao ni wazi huu mkataba ni wakujipendeza tu kwa waarabu na sio wenye maslahi kwa Tanzania.
DP World wapo Uingereza wapo Belgium na huko wanajipendekeza kwa waarabu?. Njoo na hoja zenye mantiki sio hii mipasho ya chuki.Ule mkataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu.
Nilisikia DP world wanatumia mashine kushusha mizigo haraka na kwamba sisi tunapakua taratibu sana kwanini na sisi tusizinunue hizo mashine ile tupakue mizigo haraka kama DP world ?
Samia amewapa bandari yetu kwa waarabu bila sababu za msingi mkataba wa miaka kibao ni wazi huu mkataba ni wakujipendeza tu kwa waarabu na sio wenye maslahi kwa Tanzania.
Sisi waswahili tulipokuwa tunaendesha TPA kila siku tuliishia kubuni michongo ya wizi na kulipana posho kubwa kwa tija ndogo iliyopatikana.TAMU CHUNGU YA KUFUNGUA MILANGO SEKTA YA KIMKAKATI
28 March 2026
Harare, Zimbabwe
Jinsi Kampuni ya uchimbaji madini ya kutoka China ilivyoua kampuni tajwa ya Usafirishaji kwa njia ya Malori nchini Zimbabwe: Makala ya Colbro
View: https://m.youtube.com/watch?v=mcjHg1EQyMU
Ni nini kiliua tasnia ya usafirishaji kwa malori ya wazawa wa Zimbabwe?
Mnamo 2024, notisi ya kimya kimya ya kufilisika huko Masvingo iliashiria kuanguka kwa moja ya makampuni makubwa tajwa ya usafirishaji nchini—Colbro Transport. Hakuna vichwa vya habari. Hakuna hasira ya kitaifa.
Ni Makaratasi tu. Lakini nyuma ya wakati huo kuna hadithi kubwa zaidi.
Makala hii inafuatilia kuinuka na kuanguka kwa himaya ya kampuni kubwa tajwa ya usafirishaji mizigo kwa njia ya barabara ya Colbro Transport nchini Zimbabwe—kuanzia enzi ya umiliki wa biashara kwa ukiritimba wa wazawa sekta ya usafirishaji ya miaka ya 1990, wakati makampuni kama Colbro yalipotawala ukanda wa barabara maarufu ya Beitbridge - Harare, hadi kupokonywa fursa ya kushiriki usafirishaji baada ya makampuni makubwa ya madini ya China yalipodhibiti kitumbua cha kampuni wazawa ya Colbro Transport.
Shirika la Reli ya Kitaifa ya Zimbabwe ilipopungua uwezo wa kusafirisha mizigo, magari ya mizigo ya kampuni ya Colbro Transport yakawa ndiyo uti wa mgongo wa uchumi.
Kampuni ya wazawa ya Colbro Transport ilipanda na kumiliki sekta ya kusafirisha madini kote nchini, huku ikinusurika mfumuko mkubwa wa bei na kuanguka kwa uchumi.
Kisha kila kitu kilibadilika. Makampuni ya Kichina kama Sinosteel na Huayou Cobalt hayakuwekeza tu katika sekta ya uchimbajo madini tu ya Zimbabwe— bali pia makampuni haya ya China yalichukua udhibiti wa mnyororo mzima wa usambazaji na usafirishaji.
Kampuni hizo za China zilijiingiza kuanzia kwenye usafirishaji kutoka mashimo mgodini … hadi bandarini. Kwa kuagiza malori yao wenyewe China na kuthibiti usafiri wa ndani, waliwafungia wasafirishaji wazawa kushiriki fursa ya kusafirisha mizigo na madini. Kilichofuata haikuwa ushindani tu—bali ni mgandamizo wa kimuundo ambao makampuni kama Colbro hayangeweza kuishi. Hii ni hadithi inayohusu zaidi ya kusafirisha malori. Inahusu nguvu. Udhibiti. Na nini kinatokea wakati nchi inapoteza udhibiti wake wa sekta ya logistics yaani usafirishaji kwa njia ya malori.
Source : The African Signal
TAMU CHUNGU YA KUFUNGUA MILANGO SEKTA YA KIMKAKATI

Tanzania imeagukia mikononi mwa Ukoloni mamboleo ?DP World wapo Uingereza wapo Belgium na huko wanajipendekeza kwa waarabu?. Njoo na hoja zenye mantiki sio hii mipasho ya chuki.
Profesa Assad kila anapotoa nondo watu wanazisambaza kwenye makundi sogozi, ameunga mkono uwekezaji uliofanywa pale TPA na hao DP World, jiulize kwanini.
Bila ya sisi kupigana wenyewe kwa wenyewe wao mambo yanakuwa magumu kiuchumi.Tanzania imeagukia mikononi mwa Ukoloni mamboleo ?
Imekubatia mabeberu na madalali wa ukoloni mambo leo wa nchi za ulaya, Russia, Mashariki ya Kati, Nchi za ghuba na Asia bila kujiuliza kwa kina kwa hoja tunduizi njama kubwa za mabeberu na makuadi wao.
Wasomi maprofesa wa kiTanzania UDSM, Mzumbe University n.k kimyaaa... hawafanyi wala kujitokeza majukwaa kutumia elimu yao ya juu kabisa kudadavua njama hizi kuu
26 April 2026
Port imperialism, Sudan, Israel and the gulf states - Mohamad Hassan
View: https://m.youtube.com/watch?v=QxAtxBfg8Oc
Comrade Professor Mohammad Hassan, former Ethiopian diplomat, veteran communist and a friend of Eritrean independence speaks at our Southall Seminar on Sudan.
Professor Hassan gives a weekly TV political education class and current affairs program that is broadcast to the entire Horn of Africa.
He gives a background to the geopolitics of Sudan, talks about its rich resources and history and notes that it has all the resources to be a prosperous country: land, water, oil, gold, people!
It was the biggest country in Africa. The people were prosperous before it was colonised. It could feed the world - Why should they suffer?
Above all, leadership and vision decide everything! The crime of Khruschevite revisionism limited the scope of action and vision of the Sudanese and Middle Eastern communist movement.
They lost the will and ability to fight for independence and to take the wealth and organise society for our liberation.
To that end they have embarked on a program of “port” imperialism, to control the strategic waterway of the Red Sea and its African and Arabian coastline. In this way they can dominate not only the key trading routes of the world, but the adjoining nations access to those key waterways - it is this that is responsible for the ills of the region
Source : Proletarian TV
09 July 2026Ule mkataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu.
Nilisikia DP world wanatumia mashine kushusha mizigo haraka na kwamba sisi tunapakua taratibu sana kwanini na sisi tusizinunue hizo mashine ile tupakue mizigo haraka kama DP world ?
Samia amewapa bandari yetu kwa waarabu bila sababu za msingi mkataba wa miaka kibao ni wazi huu mkataba ni wakujipendeza tu kwa waarabu na sio wenye maslahi kwa Tanzania.
Ule mkataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu.
Wananchi wengi wana uwezo wa kuiendesha biashara ya malori ya mizigo.09 July 2026
DP World adds 700 trucks to expand GCC logistics network
Rajiv Pillai
09 July, 2026
Image: Dubai Media Office
DP World has acquired 700 new trucks to strengthen its road freight network across the GCC, expanding its multimodal logistics capabilities as regional trade volumes continue to grow.
The investment forms part of the company’s long-term strategy to build an integrated supply chain ecosystem linking ports, terminals, economic zones and digital platforms to provide end-to-end logistics solutions for customers across the region.
The expanded fleet will support up to 35,000 truck trips per month, serving domestic and cross-border freight movements while enhancing first-, middle- and last-mile connectivity for both containerised and non-containerised cargo.
Ahmad Yousef Al-Hassan, CEO and managing director of DP World GCC, said: “This is a long-term investment in our multimodal network and the customers that trade in the GCC. As regional demand grows, we are scaling our capabilities to provide customers with an integrated network they can depend on at every stage.”
The trucks are being deployed progressively across DP World’s regional operations and will complement the company’s existing road transport network, which currently handles around 3,000 truck movements every day across the GCC.
According to the company, the new fleet is designed to transport a broad range of cargo, including general freight, vehicles and temperature-sensitive goods, while improving reliability and operational flexibility for customers.
Raveen Guliani, chief operating officer – Logistics at DP World GCC, said: “Our customers want certainty, reliability, efficiency and more sustainable supply chain solutions. The capability to move goods, containers, vehicles and perishables across our connected network of warehouses and ports provides exactly that. These new trucks are fuel-efficient and meet the Euro V emissions standard and we will explore green-energy vehicles in the future.”
The latest investment builds on a series of recent logistics initiatives aimed at strengthening regional supply chain resilience. These include the launch of fast-track bonded corridors linking east coast gateways directly to Jebel Ali Port, the establishment of a bonded corridor connecting Sohar in Oman, and expanded Red Sea routing through Jeddah Islamic Port’s South Container Terminal.
DP World said these initiatives have enabled the movement of more than 350,000 twenty-foot equivalent units (TEUs) overland following recent maritime disruptions, helping customers maintain cargo flows despite global shipping challenges.
By expanding its road freight capabilities, the company aims to provide greater certainty, flexibility and efficiency for businesses moving goods across the GCC, while reinforcing its integrated port-to-door logistics offering
Inasikitisha na kuhuzunisha sana. Mbaya zaidi huu uzi muda si mrefu utaunganishwa na makorokocho ua ajabu ili usionwe na wengiUle mkataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu.
Nilisikia DP world wanatumia mashine kushusha mizigo haraka na kwamba sisi tunapakua taratibu sana kwanini na sisi tusizinunue hizo mashine ile tupakue mizigo haraka kama DP world ?
Samia amewapa bandari yetu kwa waarabu bila sababu za msingi mkataba wa miaka kibao ni wazi huu mkataba ni wakujipendeza tu kwa waarabu na sio wenye maslahi kwa Tanzania.
Wananchi wengi wana uwezo wa kuiendesha biashara ya malori ya mizigo.
Wageni wanatakiwa wapewe leseni za biashara ambazo watanzania hawafanyi.
Inasikitisha na kuhuzunisha sana. Mbaya zaidi huu uzi muda si mrefu utaunganishwa na makorokocho ua ajabu ili usionwe na wengi