Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
- #21
Sana mimi sio Mbaguzi ninapenda dini zote mbili kubwa hapo Tanzania Dini ya Kiislam na Dini ya Kikristo. Tupo hapa kwenye jukwaa la kusaidiana kimawazo na kifikira tunataka na wewe utoe maoni yako unakaribishwa kwa jina la Allah na Bwana YESU kristo.Naona amepata wateja wa kutosha sana hapa, bahati mbaya ni wale wa dini tofauti, khaaa!