Sana mimi sio Mbaguzi ninapenda dini zote mbili kubwa hapo Tanzania Dini ya Kiislam na Dini ya Kikristo. Tupo hapa kwenye jukwaa la kusaidiana kimawazo na kifikira tunataka na wewe utoe maoni yako unakaribishwa kwa jina la Allah na Bwana YESU kristo.
MziziMkavu, achana porojo wewe endelea kutumwagia Tiba za asili.
Ebu tujiulize zama za zamani watu walikuwa wanajitibu vipi?
Utakuta mtu anapinga tiba ukiwamwambie na wewe tuelezee tiba unazoziamini anaanza porojo