ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
IGP Sirro kuzuia watu kuhoji juu ya hatima ya Usalama wetu anatumia kifungu gani cha sheria?
Je Hatuwezi kufungua Shauri Mahakamani kupinga Makatazo hayo?
Mahakama ndio chombo pekee cha kutafsiri sheria Je wanasheria wanalichukuliaje swala hili.