Tetesi: Makatibu wa CCM wilaya waliohamishwa vituo vya kazi wagoma kuripoti vituo vipya walivyopangiwa

Tetesi: Makatibu wa CCM wilaya waliohamishwa vituo vya kazi wagoma kuripoti vituo vipya walivyopangiwa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Mada inahusika. Makatibu wa CCM wa wilaya nchi Tanzania, wamehamishwa kwenye vituo vyao vya kazi na wamegoma kuripoti kwenye vituo vipya walivyopangiwa.

Sambamba na hilo wakatibu zaidi ya 30 wamepangiwa kazi zingine jambo ambalo hawakubaliani nalo na wamediriki kutoa rushwa Ili wapangiwe tena nafasi walizokuwa nazo awali Za ukatibu wa ccm wilaya. Ccm ijitafakari inaangamizwa na rushwa Za ndani kwa ndani.
 
CCM ni chama kikubwa!

236BBE63-643E-475D-91EF-E26B219EA7F1.jpeg
 
Rushwa ndani chama imeota mizizi mikubwa tu na mirefu sana, kama ukoma tuuogope
 
Back
Top Bottom