Tetesi: Makato 15% HESLB yameshaanza

Tetesi: Makato 15% HESLB yameshaanza

shonkoso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
687
Reaction score
1,454
Ndo hivyo ni tetesi yaweza kuwa kweli au sio kweli
 
kiongozi mwezi wa kwanza wamekata 15% labda kama kazini kwako wewe hawajaanza lakini kwetu tayari.
 
hiyo 15% nahisi hawatoikata! maana watu wataishije mjini...
 
Wameanza na kuleta simanzi kuna watu hawaambulii chochote mwisho wa mwezi ukizingatia walikuwa na mikopo benki na vikoba kuna marejesho
Kuna wengine hawaambulii chochote kwa sababu walifanya dili na wakuu wa idara wakaenda kusomea Makerere na wengine ESAMI sasa wameletewa makato
Ukiona magari yamepungua barabarani na watoto wamepungua kwenye school bus za njano ujue ni 15%
 
Back
Top Bottom