Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Kazi na utu!....kazi imeanza!Sasa hivi ukilipa kwa kutumia lipa namba ni kama unakomolewa.
Makato yameongezeka maradufu mno.
Yajayo yanaogopesha
Nimesema na nina rudia Katoeni pesa.Sasa hivi ukilipa kwa kutumia lipa namba ni kama unakomolewa.
Makato yameongezeka maradufu mno.
Yajayo yanaogopesha
Mambo kimya kimyaaaKazi na utu!....kazi imeanza!
Na dole la kati kama nyongezaHalafu kuna watoto wa Viongozi wataanza kuchezea hera mitandaoni
Sasa hivi ukilipa kwa kutumia lipa namba ni kama unakomolewa.
Makato yameongezeka maradufu mno.
Yajayo yanaogopesha
Bado utu sasaKazi na utu!....kazi imeanza!
Uharibifu wa miundombinu ni 20b+,tulieni dawa iingieSasa hivi ukilipa kwa kutumia lipa namba ni kama unakomolewa.
Makato yameongezeka maradufu mno.
Yajayo yanaogopesha
Mitanzania isiyopenda lipa Kodi,inayopenda pewa pewa bure na serikaliKaizari kaongeza sana kodi aisee na hana huruma na Watanzania hata kidogo..
Kwamba wewe chawa wa mnogamboga huathiriki, safi sana!!Uharibifu wa miundombinu ni 20b+,tulieni dawa iingie