much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
Na machawa waoLawama zote wapewe mbogamboga.
Na machawa waoLawama zote wapewe mbogamboga.
Mimi sina tatizo na kulipa Kodi,najua serikali haina miti ya pesa kwamba ikihitaji huenda kutikisaKwamba wewe chawa wa mnogamboga huathiriki, safi sana!!
Machawa mnajikuta sana, the good thing is mnatumika kama tissue tu. Muulize Tulia, kila siku anapost vitu havieleweki huko FB..Mimi sina tatizo na kulipa Kodi,najua serikali haina miti ya pesa kwamba ikihitaji huenda kutikisa
Lipa Kodi kenge wewe,kazi kulalamika tuMachawa mnajikuta sana, the good thing is mnatumika kama tissue tu. Muulize Tulia, kila siku anapost vitu havieleweki huko FB..
Ndezi wewe ndio hulipi kodi kazi kulamba masaburi ya mbogamboga.Lipa Kodi kenge wewe,kazi kulalamika tu
Nipo Petersburg hapa kwenye minada ya Scania nasubiri nipate kadhaa nije nilipe kodi huko..Mitanzania isiyopenda lipa Kodi,inayopenda pewa pewa bure na serikali
Ujunga ni kipaji piasijaona makato chehchefu kwa lipa namba bado msipandikize vita kiuchumi kwa watanzania wazalendo
Kwa hiyo takataka za ccm hazikatwi kodiUharibifu wa miundombinu ni 20b+,tulieni dawa iingie