Joshua Deus
Member
- Jul 16, 2021
- 50
- 21
Na Joshua Deus
Wahenga wanasema usipo Jenga ufa uatajenga ukuta,sekta ya Mawasiliano ni moja wapo ya sekta ambazo zinaingiza Pato la taifa nchini,Tanzania ili kukuza Pato la taifa inahitaji jitihada kubwa. Miongoni ni changamoto ambazo Zina changia kuporomoka kwa sekta ya Mawasiliano.
GHARAMA
Mitandao ya simu nchini inayo hodhi kampuni za Mawasiliano imekua ikitoza gharama za juu kwa vifurushi vya Kupiga simu,ujumbe mfupi,pia matumizi ya mtandao(internet),gharama hizi zime athiri katika upande wa huduma ya miamala ya kutuma na kupokea pesa.
MABORESHO HAFIFU
Mitandao ya simu imekua ikifanya maboresho ya huduma ya Mawasiliano na kutuma pesa Mara kwa Mara lakini bado hayakidhi mahitaji ya watumiaji wa mitandao hiyo,watumiaji kutumia gharama kupata huduma lakini katika viwango duni.
KUTOKUPEWA KIPAUMBELE MAONI YA WANANCHI
Kampuni nyingi za Mawasiliano zimejikita kufanya biashara na sio huduma ya mawasiliano,hivyo kupelekea watu wengi kukosa huduma Bora ya mawasiliano na watu wachache kunufaika na tozo za matumizi ya Mawasiliano,na miamala ya kifedha kupitia mitandao hiyo.
NINI KIFANYIKE
Serikali ijikite kwa nguvu zote kuhakikisha wananchi wake,wanapata huduma ya mawasiliano na Miamala ya kifedha katika mitandao ya simu kwa gharama nafuu ili kumkwamua Mtanzania mwenye maisha duni.
KULEGEZA KODI
Serikali ilegeze Kodi kwa makampuni ya mitandao ya simu hasa katika huduma za miamala ya kifedha ,na Mawasiliano,ili kufanya uhaueni kwa watumiaji wa mitandao ya simu.
KUBORESHA MIUNDO MBINU MIBOVU
Miundo mbinu mibovu katika mitandao hii imepelekea wananchi kupoteza fedha zao kwa ajili ya mawasiliano,pia miamala ya kifedha kucheleweshwa kufika kwa wakati.
KUSHIRIKISHA WADAU
Serikali inapaswa kushirikisha wadau wa Mawasiliano ambao wanafahamu kwa undani changamoto za watumiaji wa mitandao ya simu,pia miamala ya kifedha katika mitandao hiyo.
'' Wahenga wanasema chelewa chelewa ya umiza matumbo''hivyo ili kuondoa poromoko la Pato la taifa katika sekta ya Mawasiliano yatupasa kushirikiana kuboresha sekta hii ambapo itapelekea kukuza Pato la Taifa.