Kitendo cha mwalimu kukatwa 2% ya mshahara kabla ya makato kwa ajili ya chama 'kisicho na msaada' ni mzigo mkubwa sana kwa mtumishi.
Kumkata mtu zaidi ya laki mbili kwa mwaka, ni kuongeza sonona tu kwa mwalimu huyu wa kijijini ambaye hatokuja kusaidiwa chochote na chama zaidi ya "t-shirt ya mei mosi"
Ni muda sasa wa kubadili sera na kanuni ndani ya katiba ya CWT ili michango ya wanachama iwe "fixed" na si kama sasa.