Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Sikuwahi kujishughulisha kujua makato ya kutoa pesa kwa wakala wa CRDB. Leo nimeenda kwa wakala kutoa Tsh 120,000 nikapewa kimashine nijihudumie baada ya kuweka kadi, Nimeshtuka kuona makato ni Tsh 2,966.
Je, ATM ni nafuu zaidi ili niachane na mawakala au ni yale yale?
Je, ATM ni nafuu zaidi ili niachane na mawakala au ni yale yale?