Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
miamala ya simu inachangia sana kuua biashara inaumiza sana, unakuta kwa siku unafanya miamala 20 hizo 7500 za kutuma na kutokea ukizijumlisha ni fedha sana na huwenda ndio faida yenyewe. Online banking ni suluhisho sijui tunakwama wapi
Ndiyo maana ya biashara bwana! Duniani hakuna kitu kikawa kizuri halafu kiwe mteremko au bure! Biashara maana yake ni kunyoana kavu kavu!