Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Makubwa ukilinganisha na wapi ??Sikuwahi kujishughulisha kujua makato ya kutoa pesa kwa wakala wa CRDB. Leo nimeenda kwa wakala kutoa Tsh 120,000 nikapewa kimashine nijihudumie baada ya kuweka kadi, Nimeshtuka kuona makato ni Tsh 2,966.
Je, ATM ni nafuu zaidi ili niachane na mawakala au ni yale yale?
Kutiki mkaruka? Mbona umekuwa mkali kama mbogo jamani!?Makubwa ukilinganisha na wapi ??
Equity ukitoa kwa wakala chini ya Tsh 250,000 wanakata Tsh 3,300.
Ukitoa zaidi ya 260,000 wanakata Tsh 4,000.
Jambo la msingi tumia ATM ( tena CRDB wanazo nyingi tu, ni ujuha wako tu kwenda kwa Wakala halafu unakuja kulalamika kama mbweha humu )
Bila kuwa mkali hatuwezi kuelewana.Kutiki mkaruka? Mbona umekuwa mkali kama mbogo jamani!?
FNB bank ni 1400Sikuwahi kujishughulisha kujua makato ya kutoa pesa kwa wakala wa CRDB. Leo nimeenda kwa wakala kutoa Tsh 120,000 nikapewa kimashine nijihudumie baada ya kuweka kadi, Nimeshtuka kuona makato ni Tsh 2,966.
Je, ATM ni nafuu zaidi ili niachane na mawakala au ni yale yale?
Sawa nimeelewa. Isitoshe ATM iko mita 600 tu kutoka home. Ni uzembe kwa sababu wakala yuko mita 10 tu kutoka home.Bila kuwa mkali hatuwezi kuelewana.
Mimi natumia Equity. Yaani ni sawa tu hawana ATM. Maana wanazo 3 na ukizikuta zinafanya kazi shukuru Mungu.Sawa nimeelewa. Isitoshe ATM iko mita 600 tu kutoka home. Ni uzembe kwa sababu wakala yuko mita 10 tu kutoka home.
Asante. siendi kwa wakala tena.Katoe pesa ATM.
Mkaruka spare my ribsMakubwa ukilinganisha na wapi ??
Equity ukitoa kwa wakala chini ya Tsh 250,000 wanakata Tsh 3,300.
Ukitoa zaidi ya 260,000 wanakata Tsh 4,000.
Jambo la msingi tumia ATM ( tena CRDB wanazo nyingi tu, ni ujuha wako tu kwenda kwa Wakala halafu unakuja kulalamika kama mbweha humu )
Kwa kweli ada zenu si rafiki kabisa Iko simu tutawakimbia.Mtatuua mawakala kwa njaa jamani.
Njooni tu mtoe hela kupitia sisi walau na sisi tupate chochote
Mimi huwa naenda kwa wakala kama ATM iko umbali wa bodaboda napo naangalia kiasi.ATM ni rahisi zaidi ila kwa wakala ni convinient zaidi kwa sababu wakala wako karibu kuliko ATM.so kama ATM iko karibu achana na wakalaSikuwahi kujishughulisha kujua makato ya kutoa pesa kwa wakala wa CRDB. Leo nimeenda kwa wakala kutoa Tsh 120,000 nikapewa kimashine nijihudumie baada ya kuweka kadi, Nimeshtuka kuona makato ni Tsh 2,966.
Je, ATM ni nafuu zaidi ili niachane na mawakala au ni yale yale?
Yes, FNB na absa ndo bei zao, wapo poa sana.FNB bank ni 1400
Kasi naone uli wa ika?? Jamaa mawakala watammalizia pesaKutiki mkaruka? Mbona umekuwa mkali kama mbogo jamani!?
Mimi nimegundua hilo jana kuwa ukituma 200,000 wanakata 6,000 plusSikuwahi kujishughulisha kujua makato ya kutoa pesa kwa wakala wa CRDB. Leo nimeenda kwa wakala kutoa Tsh 120,000 nikapewa kimashine nijihudumie baada ya kuweka kadi, Nimeshtuka kuona makato ni Tsh 2,966.
Je, ATM ni nafuu zaidi ili niachane na mawakala au ni yale yale?