miamala ya simu inachangia sana kuua biashara inaumiza sana, unakuta kwa siku unafanya miamala 20 hizo 7500 za kutuma na kutokea ukizijumlisha ni fedha sana na huwenda ndio faida yenyewe. Online banking ni suluhisho sijui tunakwama wapi
Majuzi hapa nilienda NMB kutoa hela ATM zikawa zinazingua..ikabdi niende CRDB kwa vile kadi yangu ni MASTERCARD..niikuwa na laki 3 na 10..nikatoa laki 3..kuja kucheki salio(thru NMB app)nakuta nimebakiwa na 2000 na kitu..yani kupata hyo huduma nilikatwa 7000+Je Ukiwa master card ya nmb ni bora kutoa kwenye ATM za crdb au ni bora ukatolee kwa wakala wa NMB? Wapi makato yake yanakua makubwa?
Hapa nazungumzia maeneo ambayo bank yako husika haipo karibu
Kwahiyo ni bora uende kwa wakala wa bank husika kuliko ukatoa kwenye ATM na bank tofautMajuzi hapa nilienda NMB kutoa hela ATM zikawa zinazingua..ikabdi niende CRDB kwa vile kadi yangu ni MASTERCARD..niikuwa na laki 3 na 10..nikatoa laki 3..kuja kucheki salio(thru NMB app)nakuta nimebakiwa na 2000 na kitu..yani kupata hyo huduma nilikatwa 7000+
So usije jaribu hii..labda kama option zote zimeshindikana
YesKwahiyo ni bora uende kwa wakala wa bank husika kuliko ukatoa kwenye ATM na bank tofaut
nchi ya wanyonge hiiSikuwahi kujishughulisha kujua makato ya kutoa pesa kwa wakala wa CRDB. Leo nimeenda kwa wakala kutoa Tsh 120,000 nikapewa kimashine nijihudumie baada ya kuweka kadi, Nimeshtuka kuona makato ni Tsh 2,966.
Je, ATM ni nafuu zaidi ili niachane na mawakala au ni yale yale?
Kwani tulipokuwa tunalia na tozo wenzetu mlikuwa nchi gani?Sikuwahi kujishughulisha kujua makato ya kutoa pesa kwa wakala wa CRDB. Leo nimeenda kwa wakala kutoa Tsh 120,000 nikapewa kimashine nijihudumie baada ya kuweka kadi, Nimeshtuka kuona makato ni Tsh 2,966.
Je, ATM ni nafuu zaidi ili niachane na mawakala au ni yale yale?