Makato ya kodi

Makato ya kodi

Numero Uno

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
607
Reaction score
1,302
TANESCO makato ya kodi yanakatwaje

Nimenunua umeme kwa kutumia namba za simu tofauti lakini namba zote zimekatwa

Namba zote zimenunua umeme kwa meter moja kwanini nimekatwa kodi?
 
TANESCO makato ya kodi yanakatwaje

Nimenunua umeme kwa kutumia namba za simu tofauti lakini namba zote zimekatwa

Namba zote zimenunua umeme kwa meter moja kwanini nimekatwa kodi?
Tafadhali onesha namba ya mita na tarehe uliyonunua tukupatie ufafanuzi
 
Back
Top Bottom