Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo tariff ngapi?Hii ni zaidi ya kusoma namba, sio hali ya kawaida kabisa!. Inatisha!View attachment 1900995
Mama huyu ni muuaji aisee.Mbona alishasema WaTanzania wapo tayari na wanafurahia ongezeko la kodi....[emoji23]
Utazoea tu...Hii ni zaidi ya kuisoma namba, sio hali ya kawaida kabisa!. Inatisha! NB: Mimi ni Mpangaji. Kwa maana Hii Kwa Tsh 30000 nitapata Units 27! Ili hali zamani nilikuwa napata Units 84!
View attachment 1900995
Unatujibu kama yeye..🤣Utazoea tu...
Wenye nchi wanasema makato yameanza tangu 1.7.2021 .Hii ni zaidi ya kuisoma namba, sio hali ya kawaida kabisa!. Inatisha! NB: Mimi ni Mpangaji. Kwa maana Hii Kwa Tsh 30000 nitapata Units 27! Ili hali zamani nilikuwa napata Units 84!
View attachment 1900995
Kwa hiyo kodi ya Jengo ni tsh 1000 kwa mwezi?Wenye nchi wanasema makato yameanza tangu 1.7.2021 .
Sasa huu ni mwezi wa 8.
Wanakata ya miezi miwili ambayo ni 2000/=.
Na wanashauri tuvumilie kwan mwezi wa9 watakata 1000 kwa mwezi...
Pia wanawashauri na kuwashawishi ambao hawajaingiza umeme,waingize Mara moja ili tujenge nchi yao..
Ushauri wangu kwa tusiopenda hizi tozo.tusinunue umeme ila tulipie maji tu,.
Ndio maana yake,,Kwa hiyo kodi ya Jengo ni tsh 1000 kwa mwezi?
Wataleta na kwenye maji. Wajalaaana hawa kwa adabu wanayowadhania ....?!Wenye nchi wanasema makato yameanza tangu 1.7.2021 .