Makato ya Luku yanatisha! Angalia hapa

Makato ya Luku yanatisha! Angalia hapa

Nahamia Afghanistan soon.

Truth be told.... Kuingoza nchi so sawa na kuingoza familia.
Sema kuongoza nchi sio kama kuongoza jeshi. Kuongoza nchi na kuongoza familia habari ni ile ile. Nchi ni Familia kubwa na unahitaji uwezo wa kulea familia kuiongoza nchi.

We haujiulizi kwann sifa ya muhimu kwa kiongozi awe ni mtu ndani ya ndoa??! Ingawa kwa hapa Tanzania tumeshaharibu hiyo sifa kwa kuwapanga wadangaji na masela kwenye nafasi za uongozi halafu tunashangaa why mambo yanafeli kwenye taasisi kila siku.
 
huyu bi Zena, Anaharibu maisha ya watu, totally demolished[emoji26][emoji26][emoji26]
Wengi anaolalamika kuhusu tozo na kodi,ni wale ambao,walikuwa hawalipi tozo wala kodi,walitumia huduma za jamii,lakini sasa wanalipa,eanaona ni jambo jipya,waliokuwa wakilipia hawalalamiki.
 
Duuuh hapa ni mwendo wa kununua tu Solar ili umeme wao watumie wenyewe mana wanaona kama tunafaidi sana
 
Ila mimi sina Nyumba mzee ni mpangaji.
Tunza hizo sms kodi ijayo punguza 12,000/= unayomdai mwenye nyumba yako au kama vipi mfuate akupe advance kabisa ya pesa utakayomlipia...,
 
Duuuh hapa ni mwendo wa kununua tu Solar ili umeme wao watumie wenyewe mana wanaona kama tunafaidi sana
Ndio utanunua Solar na hautalipa tuseme kwa miaka kumi (ila kumbuka kodi ipo pale pale kila mwaka na penalty) kwahio baada ya miaka kumi ukiweka umeme ni either utakuwa na deni la 120K au siku wakiamua kupitisha msako wa wadaiwa kodi za majengo na wewe utakuwemo
 
Duh sio poa aisee
 
Hivi kuna wanasiasa walituasa kuwa, "wakimalizana na sisi watawageukia ninyi".

Sasa sijui ndio tumegeukiwa au lah
 
Mwigulu siku nyingine angalau ujiongeze kidogo kwa kutafuta jina zuri la kodi unazobuni mfano hii hapa ungeipa jina la kuimarisha au koboresha makazi bora Mijini na Vijijini(IMPROVING RURAL AND URBAN SETTLEMENTS).
 
Nimenunua wa 2,000. Naona makato tu ila sijaona luku kama wamekata 2,000 yao ni sawa isije ikawa hawajakata.
 
Back
Top Bottom