Nimelipa Elfu 2 kwenye N-CARD nimwekewa 1900Tsh eti kuna makato ya Tsh 100. Hii inatokea kwa wengine imekubalika pale ferry.
N-Card ni platform ya malipo ya serikali kwa faida ya serikali, lakini kama inanufaisha wengine, kwa kutotoa elimu zaidi ya namna ya kulipia kadi hiyo, au kutofanya association nzuri na wadau wengine ili waone umuhimu wa kuitangaza kwa faida ya serikali yetu, hii sio sawa.
Napendekeza, N-Card ijitambulishe kiweledi kwa watanzania ili waielewe ni nini, ni nani na kwanini!
Kisha wafanye kilichowaleta, sababu uhuni mwingi ni kero, na inaleta watu kutafuta namna ya kutafuta njia mbadala, ambapo sasa, inaweza kupunguza ufanisi na faida kwa taifa kwa ujumla.
Hayo ni maoni yangu tu.