Makato ya mamala yapo poa, yanawiana na Uchumi wa kati

... toa alternative; alitakiwa afanyeje labda? Lipa kodi berty acha kulalamika! Nchi hii ni tajiri mno!
Aitishe uchaguzi tumchague raisi mwingine ambae atatambua umuhimu wa wananchi sio uyu aliepewa nchi kisa kale kakitabu mnakokaita katiba
 
aitishe uchaguzi tumchague raisi mwingine ambae atatambua umuhimu wa wananchi sio uyu aliepewa nchi kisa kale kakitabu mnakokaita katiba
Huwezi kukwepa kulipa kodi kama kweli unataka kujitegemea.

Mengine ni malalamiko tu ya kutafuta kujifariji.
 
Huwezi kukwepa kulipa kodi kama kweli unataka kujitegemea.

Mengine ni malalamiko tu ya kutafuta kujifariji.
tukitaka tujitegemee tupunguze matumizi wao uko wanajipa mamishahara makubwaaaa na maposho kibao!
 
Wa Kati upi sasa wa kwenye karatasi au ule halisi
 
Namba za simu za nini sasa hapo, ama ndo unataka urushiwe muamala kwa ulichokifanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…