Makato ya miamala unaweza fikiri kuna mwizi kakuibia live

Tozo zinaumiza mno jamani
Ipo siku Mungu atatukumbuka watanzania
Wadhalimu wote atawashughulikia ipasavyo,
 
Unadhani Ma V8 ya makada wa CCM yatajazwa vipi mafuta??? Eboo!!! Tuache ku demka demka na Muache Makelele yenu yanamsumbua Mama
 
HUyo mwizi ni srikal yako katili isiyojali maumivu yako. Kikubwa ni kujenga wigo wa usalama wa wachache. Usijidanganye ndugu yangu. No one and is absolutely no one cares about your pains or your future and your descendants!. This is the bitter truth!. No hope.
Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?

Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.

Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.

Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
 
Unatumiwa hela baada ya kufanya kazi ili utoe unakatwa, unatuma kwa mwanafunzi ada na matumizi unakatwa, mwanafunzi anatoa hela ya ada na matumizi anakatwa, mwanafunzi ananunua mahitaji dukani analipa Kodi hatari saana
Hata mimi leo niliwaza, hivi mbona haya makato hayazoeleki hata nifanyeje?
 
Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?

Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.

Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.

Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
Mkuu si lazima kutumia hii huduma mimi mwenyewe situmi tena pesa labda nipate tatizo la gafla na hakuna njia nyingine ndio natumia hizi huduma za mtandao, sasa iv mwendo wa bank tuu
 
Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?

Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.

Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.

Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
Malengo hayo yapo na yaliwekwa wazi wakati wa Bunge la Budjet. Tafadhali fuatilia utayaona. Hakuna kitu kilichofichwa. Hili ni suala la maendeleo yetu.
 
Kazi ya mbunge wa ilala hiyo na majuzi mwenye nchi kasema wananchi wamekubali tozo [emoji24][emoji24]
 
Mimi nafikiri hizi tozo zimewekwa ili Ku discourage mobile money transaction watu wengi warudi kutumia ma bank

Kama kweli serikali ingekuwa inataka pesa ingeweka tozo ndogo ili kuvutia watumiaji wengi zaidi
 
Mama anasema watanzania wamekubaliana na hizi tozo.
Kweli hata mimi bado nashangaa..sijui tulimkubalia wapi huyu maza....sijui data alipata wapi. Kodi nakatwa kubwa..bado miamala..unakatwa...ukinunua petrol/ diesel/ umeme unakatwa tozo za kuchangia umeme vijijini..yaani kifupi hawataki mtanzania wa chini aendelee.... mi naamini siku moja atazuka mtu wa style ya jiwe..mwenye degree saba za uzalendo..atawatia ndani na kufilisi wote waluotuleta ktk utumwa huu. Nawakumbusha tu...Mungu Fundi..kilio cha watanzania kinaendelea kupiga kelele mbele zake..ni swala la muda tu!
 
Back
Top Bottom