Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hehehheheh, hizo chanjo hata wakinunua 100 na wakasema wamenunua milioni 100 nani atabisha? Maana hakuna anaechoma
Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?
Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.
Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.
Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
Hata tujigoma, lazima watangaze zimetumika zote na hazitoshi, kikubwa tozo itumike kisawaswa kutajirisha madalali wa chanjoNa kweli
Ila baadae watapazimisha kama wafanyakazi wa Afya na ofisi kubwa
Sijui itakuwaje ila naona watu wamegoma
Hata mimi leo niliwaza, hivi mbona haya makato hayazoeleki hata nifanyeje?
Mkuu si lazima kutumia hii huduma mimi mwenyewe situmi tena pesa labda nipate tatizo la gafla na hakuna njia nyingine ndio natumia hizi huduma za mtandao, sasa iv mwendo wa bank tuuNilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?
Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.
Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.
Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
Jana nilituma pesa kupitia cardless ya crdb hadi leo pesa haijafika, kila wakiingiza namba wanaambiwa you have insuficient fund.Makato hayan shida mbona?
Kama unaona yanakulemea unakwepa ,unatumia njia zisizo na makato.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Malengo hayo yapo na yaliwekwa wazi wakati wa Bunge la Budjet. Tafadhali fuatilia utayaona. Hakuna kitu kilichofichwa. Hili ni suala la maendeleo yetu.Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?
Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.
Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.
Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
Siku hizi situmi zaidi ya sh 999/=. Bora nirudie mara muamala kumi kuliko kuliko kuchoma pesa hovyoKazi ya mbunge wa ilala hiyo na majuzi mwenye nchi kasema wananchi wamekubali tozo [emoji24][emoji24]
Kweli hata mimi bado nashangaa..sijui tulimkubalia wapi huyu maza....sijui data alipata wapi. Kodi nakatwa kubwa..bado miamala..unakatwa...ukinunua petrol/ diesel/ umeme unakatwa tozo za kuchangia umeme vijijini..yaani kifupi hawataki mtanzania wa chini aendelee.... mi naamini siku moja atazuka mtu wa style ya jiwe..mwenye degree saba za uzalendo..atawatia ndani na kufilisi wote waluotuleta ktk utumwa huu. Nawakumbusha tu...Mungu Fundi..kilio cha watanzania kinaendelea kupiga kelele mbele zake..ni swala la muda tu!Mama anasema watanzania wamekubaliana na hizi tozo.