JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG, utaratibu uliopo, mfanyakazi anayekopa kwa makubaliano ya kukatwa mshahara wake ni lazima abakiwe na kiasi kinachomtosha kujikimu mahitaji yake
Sheria ya Kurejesha Madeni ya mwaka 1970, mfanyakazi hatakiwi kukatwa zaidi ya theluthi mbili ya mshahara wake ghafi (Gross Salary) kwa mwezi
Upvote
0