Habari za mchana wadau,
Kwa muda sasa nlikua sijawa na uhakika na makato ya Nmb kwenda tigopesa, lakini leo nimejionea maajabu.
Nilikuwa na shilingi elfu tano na shilingi kadhaa kwenye akaunti lakini cha ajabu ni kwamba nikashindwa kununua vocha ya tigo ya 1500/= kwa madai kwamba salio halitoshelezi, lakini nliponunua vocha ya 1000 ikakubali na pesa yote kwenye akaunti ikayeyuka.
Swali langu ni je haya makato ndo yako hivi siku zote au ndo yameanza hivi karibuni maana kwa mtindo huu ntakua nimeliwa sana pesa zangu...