Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A permanent resident... Naamini kama sijakosea wanamaanisha uwe na kakibanda (nyumba) inayoashiria ukazi wako katika eneo husika na si 'waja leo waondoka kesho'.
Sijui nimeeleweka?
umesomeka.................kama ndivyo basi wengi tutaikosa hii fursaA permanent resident... Naamini kama sijakosea wanamaanisha uwe na kakibanda (nyumba) inayoashiria ukazi wako katika eneo husika na si 'waja leo waondoka kesho'.
Sijui nimeeleweka?
A permanent resident... Naamini kama sijakosea wanamaanisha uwe na kakibanda (nyumba) inayoashiria ukazi wako katika eneo husika na si 'waja leo waondoka kesho'.
Sijui nimeeleweka?
Nadhani kua na makazi ya kudumu kunaangalia mazingira ya mtu anavyoishi kisheria:Yaani ni mkazi (mtanzania) anayeishi eneo husika,na amekua akiishi hapo kwa mda mrefu (sio chini ya muda fulani kisheria,kwa kipimo cha miaka kadhaa) na kushiriki kikamilifu mambo kadha ya kijamii yanayoihusu kata husika,kwa maana hiyo anatambulika ktk kata yake.
Suala la mali,namaanisha kua na nyumba anayoimiliki yeye ktk kata husika sio suala la lazima kisheria,maana mtu anaweza kua ni mzaliwa ktk kata husika na asiwe na nyumba ila anashiriki kikamilifu na anajulikana kiuadilifu ktk kata husika.