MAKAZI YA WAYAHUDI

MAKAZI YA WAYAHUDI

Emmanuel Alden

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
387
Reaction score
485
Habarini wakuu ningependa kujua sababu za ujenzi na upanuzi wa makazi ya wayahudi ambao kwa muda mrefu sasa umekua ukiendelea kama una majibu tafadhali naomba unielimishe nielewe.
 
Mbona u nauliza kiukali na wewe ni Hitler, unataka kuwasaidia wapalestina?
 
Back
Top Bottom