Make Tanzanians Receive Money with Paypal

Solution sio petition kwa paypal. Paypal wanajiendesha kwa policied zao zenye kuwalinda wateja wanunuzi. Mimi nilijiunga PayPal tangu 2008 na kati ya 2010 na 2014 niliwaandikia PayPal nikiwauliza kwa nini hawaruhusu malipo kwa PayPal tz. Wao walijibu kuwa sheria zetu za kifedha na kibenki haziendani na sheria za kimataifa zenye kuwalinda wanunuzi. Hiyo ni moja na lapili ni mikataba na mabenki husika haipo. Kwa hiyo Tanzania is not a safe place for online purchases. Mfano mteja akitapeliwa hakuna sheria ua kurudishiwa pesa zake. Usalama wa pesa za mnunuzi ni kipaumbele kwa PayPal. Mfano kuna wakati nilinunua simu ebay halafu kumbe simu ile ilikuwa ya kitapeli. Nilifuata hatua zote za kuomba kurudishiwa pesa hizo kama Protection policy yao inavyosena halafu baada ya mtapeli kugoma kurudisha, nilirudishiwa pesa na ebay. Hili kwa tz bila mkataba na sera za kibenki nzuri haiwezekani hata watu wengi wakifanya petition
 
Ila payment gateway ya CRDB mbona inaruhusu kupokea payment toka paypal?
 
Nna akaunti ya Paypal mwaka wa 6 huu, natumia kwa ajili ya purchase tu mtandaoni. Nalazimika kutumia bank transfer kuwithdraw fedha kutoka kwenye baadhi ya tovuti nazofanya nazo kazi. Kiasi nachopokea huwa ni kidgo, mostly around $100 to $200, ila fees zake ndio maumivu. Kama ikipita hyo petition, Paypal itakuwa ni suluhisho kubwa sana kwa wajasiriamali na Watanzania wote kwa ujumla.
Mkuu tumia payoner
 
Chrysanthemum.jpg NGOJA NIIFUFUE HILI GONJWA LILOKOSA KUTIBIWA UTADHANI HAWAONI SIJUI B.O.T KWA NINI TANZANIA TUKO NYUMA JUU YA KIZURI HICHI AU USIMAMIZI WA TEKNOLOJIA HIZI NDIO KWETU BADO...NCHI TAJIRI HII SEE KENYA MASAI PEOPLE TOUCH THE SKY
Chrysanthemum.jpg
 
Vijana Mjiajiri, Fikirini [HASHTAG]#NjeYaBox[/HASHTAG] by Cc HKigwangalla
Tunajaribu kujiajiri hata kwa kufanya biashara mitandaoni unajua ugumu uliopo kwenye kufanya malipo tz?! Hapo ndio naona wanasiasa ukiwemo huyo uliyemquote ni wapuuzi tu.
 
Nadhani wanamaanisha kila mtu awe Machinga !
 
Serikali yetu ina wazee wengi wasiotaka kushauriwa na vijana wanaoiona dunia inaendaje.
 
Back
Top Bottom