Make up 8 wanawake zinazowachefua wanaume


...Halafu wakiona Wanawake wengine waliofanya hayo macho juu juu huku mfadhaiko ukikaribia kuwafadhaisha!!!
 
...Halafu wakiona Wanawake wengine waliofanya hayo macho juu juu huku mfadhaiko ukikaribia kuwafadhaisha!!!

Mapambizo ni mazuri tu kama yakifanywa kwa kiasi, maana mapambo yakizidi ni uchafu. Sawa na mnywaji anapomaliza creta nzima ni uchafu tofauti na mwenye kupiga moja mbili kwa kuzima kiu. Mvuta Sigara ni ugonjwa kumalia pacti moja kwa siku toafaauti na anayetumbua pingili moja au mbili kwa siku. Hat kama si mvuta sigara au mnywaji nitakuwa radhi kushirikaina kwa karibu na mwenye kiasi maana ni hali isiyochefua, lakini kupitiliza zaidi ni uchafuzi wa maungo mazuri aliyotutengenezea Muumba wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…