Lions Share
Member
- Jul 14, 2012
- 92
- 208
Kila mtu anajua kinachoendelea pale Ukraine hakuna media duniani isiyo ongelea hii vita Lakini ukweli ni kwamba Hii vita imejaa propaganda na kwenye Hili Nchi za magharibi zimefanikiwa sana.
Ukiangalia Wastani Nchi nyingi duniani wameeegemea upande wa Ukraine na kumuacha Rusia Mpweke na wengine wapo upande wa Ukraine bila hata kujua Agenda ya Vita nini.
Cuba walipotaka Kumiliki Nuclear Weapons Marekani alisema hatoruhusu Cuba amiliki Silaha hizo na kama atalazimisha yupo tayari kuilipua dunia Ili Cuba asimiliki izo silaha za Mangamizi sababu zilikua zina hatarisha usalama wake.Nchi yeyote duniani ambayo inahatarisha usalama wa US.Marekani muda wowote atakaopenda amezivamia na kuzipiga ipasavyo hakuna Mtu alie ingilia wala Media iliyo onyesha Uvunjifu wa Haki za Binadamu.
Moja ya Hotuba ya Mandela Anasema hakuna nchi iliyofanya uhalifu duniani dhidi ya Binadamu kama US akirejea Hiroshima na Nagasaki Bombing.
Marekani Amepiga nchi nyingi sana zikiwemo Iraq,Afghanistan na kufadhili vita Kibao dhidi ya watu asio wapenda na huko mauaji kibao ya Binadam wakiwemo wanawake na watoto yametokea Lakini hakuna mtu aliejaribu kumzuia na Waliojaribu kumshitaki ICC yeye ndo akawawekea Vikwazo kina Fatou ICC prosecutor na wakalala mitini na hakuna anae tia neno.
Tatizo la vita vya Ukraine hadi dunia yote inasimama kuviangalia ni kwamba Kwanza Vinapiganiwa kwenye Ardhi ya Ulaya tena katika wakati huu Technolgy imekua sana hivyo Ulaya yote athari itaona Moja kwa Moja lakini Vita Hivi Rusia angeivamia Nchi ya Africa lets say Sudan Ya kusini Usingesikia nchi za Ulaya zinatia neno lolote zaidi ya US President angejitokeza na kusema "Tunafatilia kwa Karibu kinachoendelea Sudan ya Kusini"😆 Imeisha hiyo Mtauwawa mpaka mfe tena hakuna anae jali hii ni Double standard kwa Humanit.
Pili Kuna Vita ya Communism na Capitalism hii vita haijaisha toka Vita barid na haitaisha hadi ujamaa utoweke kitu ambacho ni kigumu. Rusia ni mtoto wa kambo pale ulaya kwa kifupi hatakiwi kuwepo ulaya sababu ya Ujamaa wake anaonekana anaichafua ulaya lakini Rusia ni li mbuyu pale Ulaya kuliangusha si kazi rahisi hivyo vita baina ya Ujamaa na ubepari itakua ni endelevu na Rusia anajua hilo kama hatakiwi Ulaya hna yeye anajiamini ni Giant na ndo ukweli na Magharibi wanajua uwezo wake i.e Usije mpimw wa kinachoendelea sasa Ukraine ukadhani ni jeshi la Joseph Kony Kifupi mpaka sasa Hajatumia hata robo ya uwezo wake kwenye Technogia ya Kuvita.
Chanzo cha kelele hizi Ni Mafanikio ya Propaganda za nchi za Magharibi kwenye hili wamefanikiwa sana na Rusia amefail hakuna mtu anae msikiliza Rusia imagine jana Watu wametoka baada ya waziri wa Mambo ya Nje wa Rusia kuanza kuhutubia kwenye UN asembly on Humanitarian issue mana yake now Rusia aaminiki na ndio anaonekana mbaya wala hakuna anae elewa wala kusikiliza Upande wake.
Nchi za Magharibi wamefanikiwa sana kwenye Propaganda amini kila unapofungua Media ya Magharibi tayari umesha danganywa.
Makele ya vita yamezidi lakini Kama Rusia angeitwanga Nchi ya Africa hakuna mtu angejali wangeendelea kugonga vodka tu.
Usalama wa Dunia upo majaribuni Mungu atuvushe salama.