Makengeza kwa mtoto!

Makengeza kwa mtoto!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Kuna mtoto anamakengeza ,nimesikia mtu mmoja nasema kuwa madaktari wanaweza kurekebisha kitu hicho kwa operation ndogo tu!
Naomba mnijulishe utaalamu huu!
 
nenda CCBRT macho msasani tatzo linaisha,by the way watoto chn ya miaka 5 matibabu bure.
 
Back
Top Bottom