Makengeza yanatokana na nini?

Makengeza yanatokana na nini?

Wana Jamii Forums hamjambo.

Ni sababu zipi zinasababisha mtu kuwa na makengeza asilia? (Hapa siongelei makengeza ya ajali za ukubwani).

Nimekuwa nikifuatilia na nimegundua watu wengi wenye makengeza ni wa kabila fulani na nimewashirikisha watu wengine nao pia wamekuwa wakinipigia simu kunijulisha kwamba utafiti wangu unaelekea kuwa wa kweli.

Sasa najiuliza ni kwa nini kabila hilo linakuwa na idadi kubwa ya watu wenye makengeza.


Nlivyokua ndogo bibi yangu alinizuia kutizama kioo akisema ntakua Na makengeza!
 
Hakuna Ki2 Kama Hicho Mim Nasomea Macho, Katika Taaluma Ye2 Inasema Kwamba, Strabismus/makengeza Inatokana Na Imbalance Of Extraocular Muscles, Na Mara Nying Huwa Congenital, Na Pia Inakua Inaambatana Sana Na Amblyopia, Na Wala Co Makabila, Cjui Umeelewa

Ungekuwa mwalimu, I bet wanafunzi wako wote wangefeli!
 
Kuchungulia wakubwa zako either wakiwa wanakwanguana or wanajisahidia dawa yake ni kuchungulia tundu la choo kila siku ndan ya miez miwili
 
Back
Top Bottom