Makeo kidato cha nne kuazia 2009 had 2012

Makeo kidato cha nne kuazia 2009 had 2012

Busurwa

Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
26
Reaction score
2
[h=5]Kuna Mdau katika kikundi cha wanamabadiliko amechambua matokeo ya Kidato cha nne tangu mwaka 2009. Oneni mtiririko

2012 Form 4 results

DIV 1: 1,641 (0.4%)
DIV 2: 6,453 (1.6%)
DIV 3: 15,426 (3.9%)
DIV 4: 103,327 (26.0%)
DIV 0: 240,903 (60.1%)

2011 Form 4 results

DIV 1: 3,671 (1.09%)
DIV 2: 8,112 (2.41%)
DIV 3: 21,794 (6.84%)
DIV 4: 146,639 (43.60%)
DIV 0: 156,085 (46.41%)

2010 Form 4 results

DIV 1: 5,363 (1.53%)
DIV 2: 9,944 (2.83%)
DIV 3: 25,107 (7.14%)
DIV 4: 136,777 (38.9%)
DIV 0: 174,407 (49.60%)

2009 Form 4 results

DIV 1: 4,419 (1.78%)
DIV 2: 10,493 (4.21%)
DIV 3: 27,310 (11.2%)
DIV 4: 130,651 (52.61%)
DIV 0: 65,708 (26.46%)
[/h]Unasemaje kuhusu huu mtiririko wa matokeo?
 
Hatua za haraka zichukuliwe kwa kweli, otherwise watoto watazidi kujinyonga!
 
Mi nadhani ni fundisho, kuanzia 2010 ndo hali imeanza kuwa mbaya almost 90% ya wanafunzi wana DIV 4 au DIV 5, na hii nadhani ni baada ya shule za kata kuanza kutoa wanafunzi.

Naamini Serikali na jamii kwa ujumla ikidhamiria inaweza, serikali iongeze walimu na motisha zao hasa kwenye shule za kata! then wazazi katika hizo shule wawajibike kuwanunulia wanafunzi vitabu na chakula cha mchana! watoto wapige shule kuingia asubuhi kutoka saa kumi kwa miaka miwili tu uone mabadiliko katika elimu yatakuwaje.

Tukiamua kwa pamoja tunaweza, lakini wewe unamtoto anaanza form 1 mpaka form 4 hajawahi omba kununuliwa kitabu wala hujakagua madaftari au matokeo yake unategemea nini?

Kwenye Elimu hakuna muujiza wa mtu asisome halafu afaulu, muujiza ni wa mtu kusoma halafu kufeli baasi
 
This is a downward spiral! Hatua za haraka lazima zichukuliwe
 
Idadi ya Div 0 imekuwa ikipanda kwa uhakika kila mwaka! Wakati Div 1 zikiendelea kupungua kwa uhakika vile vile. Lakini wawakilishi wetu bungeni wanaendelea kuleta Si-hasa!
 
Back
Top Bottom