Makerere ndio the best university in East Africa.

Makerere ndio the best university in East Africa.

Acha niendelee kutafuta hela wasomi na digrii zenu na vyuo vyenu bora wengine tunawaona bado wanagombania maandazi na wadogo zao nyumbani kwa wazazi/walezi kwa kukosa ajira na kukosa akili za kujiajiri.
 
Usianzishe uchawi humu we unaanza kwa kasi hivyo je unajua ni the Best for what? . Sikatai ila ningependa kujua ubest huu umepimwa kwa vigezo vipi.
Je ni the best kwa huduma zao kwa ujumla?
au ni the best kwa kuwa na wahadhiri competent?
au ni the Best kwa kutoa the best graduates?
au ni the best kwa kuwa wamesoma watu wengi maarufu kipindi kile vyuo vikiwa vichache?
Au ni the best kwa kufanya research ambazo zimeleta breakthrough katika matatizo sugu ya wanadamu?
Au ni the best kwa kuwa na majengo mazuri?
Ningeridhika zaidi kama ningejua vigezo vilivyotumika ili na mimi nijiridhishe kuwa vyuo vyangu vikuu nilivyosoma havikunisaidia kwani nimekuwa nikikutana na colleagues kutoka Makerere katika mikutano na warsha mbali mbali za humu na nje sijaona walichonacho kikubwa saaana zaidi yetu waTZ au ambao hatukusoma makerere.

Mbona hamkufanya huu uchambuzi wenu wakati wa kudiscuss vyuo vingine kama mzumbe n.k?
 
Kama alieanzisha thread hii kafika chuo kikuu, Basi nina mashaka na elimu inayotelewa kwenye chuo chake.
 
Kama alieanzisha thread hii kafika chuo kikuu, Basi nina mashaka na elimu inayotelewa kwenye chuo chake.
thibitisha hilo kwa hoja mkuu,hii sio sehemu ya mipasho,ukitaka mipasho nenda jukwaa la umbea au facebook.
 
Nategemea vilaza wa UDSM wanaodanganza kwamba chuo chao ni bora,wataingia kwa kasi na hasira kwenye thread hii,kama kawaida ya wataanza kwa vijembe na mipasho
naona umeliza bila kuhoji ubora wake umejikita wapi, iki chuo kilikua bora enzi izo za baba wataifa,anayesema Ud ni bora anasababu za msing,unawachukia wana Ud kwann ndugu?
 
Nategemea vilaza wa UDSM wanaodanganza kwamba chuo chao ni bora,wataingia kwa kasi na hasira kwenye thread hii,kama kawaida ya wataanza kwa vijembe na mipasho

Kama UDSM nao vilaza siku hizi, Vile vyuo vya kata itakuwaje sijui
 
Kama alieanzisha thread hii kafika chuo kikuu, Basi nina mashaka na elimu inayotelewa kwenye chuo chake.

Ninachojua ni kwamba competency ni juhudi binafsi ya mtu awe amesoma midizini au Oxford, Harvard au Cambridge kama elimu yake haitusaidii ni kazi bure tu. Mbona Chenge anajidai kasoma chuo kinachoheshimika duniani yaani Harvard University na bado tumeshuhudia upupu aliofanya.

Argument ya kuwaponda au kuviponda vyuo vingine naona ni finyu kama ilivyo akili ya mtoa mada kwani hiyo itasaidiaje kuboresha vyuo vyetu. uzalendo tunaodai ni lugha ngumu sana kwa huyu jamaa ambaye hajui kwamba madaktari karibu wote wa hospitali zetu wamesoma Muhimbili na vyuo vya humu nchini na ndio wanazalisha wake zetu na dada zetu. Sijajua anataka kutueleza nini.
 
mbona hamjibu hoja mnaishia kwenye vjembe na mipasho,ingieni kwenye hiyo link nliyowapa msome ndio mje na hoja zenu...la sivyo nazidi kuamini udsm ni makelele tu,hamna content

Wewe nawe inawezekana ni kilaza wa chuo kinachofahamika! Hapo juu nimekupa links tatu (3) kwa taarifa zako. Tembelea 4icu.org | World University Web Rankings website inayoheshimika kuliko zote nayo imeiweka Makerere University nafasi ya 11; University of Nairobi nafasi ya 14; University of Dar es Salaam nafasi ya 15; The Hubert Kairuki Memorial University nafasi ya 48; Kumbuka kuwa vyuo hivi ni ndani ya 100 bora barani Afrika. Sasa nikupe nini zaidi?

Wewe unazungumzia rankings za Februari 2011, mimi nakupa rankings za Julai 2011. Rankings hizi zinabadilika kulingana na wakati kama zile za FIFA!
 
Wewe nawe inawezekana ni kilaza wa chuo kinachofahamika! Hapo juu nimekupa links tatu (3) kwa taarifa zako. Tembelea 4icu.org | World University Web Rankings website inayoheshimika kuliko zote nayo imeiweka Makerere University nafasi ya 11; University of Nairobi nafasi ya 14; University of Dar es Salaam nafasi ya 15; The Hubert Kairuki Memorial University nafasi ya 48; Kumbuka kuwa vyuo hivi ni ndani ya 100 bora barani Afrika. Sasa nikupe nini zaidi?Wewe unazungumzia rankings za Februari 2011, mimi nakupa rankings za Julai 2011. Rankings hizi zinabadilika kulingana na wakati kama zile za FIFA!
sa mbona unanishambulia mimi shambulia hoja,hoja yako nimeisoma period,don't attack me *****
 
naona umeliza bila kuhoji ubora wake umejikita wapi, iki chuo kilikua bora enzi izo za baba wataifa,anayesema Ud ni bora anasababu za msing,unawachukia wana Ud kwann ndugu?
walimpga disco akaenda muccobs kwa vilaza wenzie,ndo kawa na hasira hadi leo.
 
Mi naamini kuna watu hisia zao zimetawaliwa na ubishi 96%,utashi wa kutafakari mambo kwa kina 2% na 2% kutojua,argument yoyote lazima iwe na base,naona mnalumbana tu na wengine wameanza kutukanana sasa, agree to disagree
 
Mi naamini kuna watu comment zao zimetawaliwa na hisia za ubishi 96%,utashi wa kutafakari mambo kwa kina 2% na 2% kutojua,argument yoyote lazima iwe na base,naona mnalumbana tu na wengine wameanza kutukanana sasa, agree to disagree, mbona wengine tumekaa kimya ili hali ni magraduate pia, the situation is already out of hand kuna wengine wameanza kupanic
 
okay waweza sema chuo fulani ni bora kuliko kingingine kwa vigezo mbalimbali,ila mwisho wa siku ni swala la mtu binafsi,je wewe ni bora kiasi gani,waweza vipi kutumia kile ulichojifunza kukupatia faida wewe na jamii inayokuzunguka,waweza soma kwenye chuo bora kabisa ila wewe usiwe bora kuzidi yule aliyesoma chuo ambacho si bora.tujitahidi kua bora kwa kutumia elimu tuipatayo kujiletea manufaa katika jamii yetu.pamoja tunajenga taifa.
 
Back
Top Bottom