Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
mpumbavuu wewe umeona UDSM mahali hapo kwa both lists??? if nairobi uni will move from 26 to 58 as u say...what abt UDSM? from 48 to 200?????ππππππππUnashuku nn, hiyo source yako outdated ndio unatamba nayo, from 7 to 26, next time 58....ha ha ha sibishani na wajinga, ulale unono.
Yaani bara lenye nchi 54, unajivunia kuwa kwenye top 50! Ina maana kama zingekuwa ni orodha ya nchi maskini, it means UDSM ingekuwa ya 48 out of 54! What a shame Mlimani!chief, on a positive vibe, udsm yangu ipo top 50.
si haba!
Makerere ya Uganda imeingia ndani ya kumi bora Afrika kwenye orodha ya vyuo bora. Hongera zao jameni.
Chuo chetu cha Nairobi kimeshika namba 26 ambayo sio nzuri kweli, ila Bongo....dah, chuo chao cha UDSM kimetulia kwenye namba 48 na kuridhika, wapo wapo tu.
URAP - University Ranking by Academic Performance
Mkuu kuna juhudi maalum za MACCM ili kuongeza idadi ya wajinga Tanzania na ndiyo sababu kuwa go cha elimu nchini kinashuka kwa kasi ya kutisha.
Walimu hawathaminiwi kama miaka ya nyums. Serikali inawadhulumu haki zao mbali mbali in billions, mishahara yao ni midogo mno, shule nyingi nchini hazina hata hadhi ya kuitwa choo achilia mbali shukrani. Vifaa muhimu kama madarasa ya kutisha, vitabu etc hakuna na kuna upungufu mkubwa sana wa walimu.
Sasa ukiwa na nyumba yenye msingi mbovu kama huu kamwe usitegemee kuwa na excellent product vyuoni.
Eti juhudi ya kuongeza idadi ya wajinga!, lakini wewe [emoji2]
Lakini hivi lini na sisi tutakuwa at least 5 bora kwenye list kama hii?
It's kind of sad kwa kweli kila siku tunashika namba za mwisho tu.
Halafu kama unavyosema vyuo vingi ukiacha UDSM na UDOM haviko ki vile sana kwa hadhi.
Na hii taaluma ndio haipewi kipaumbele hivyo, wakati it's the most imprtant.