Mkuu kuna juhudi maalum za MACCM ili kuongeza idadi ya wajinga Tanzania na ndiyo sababu kuwa go cha elimu nchini kinashuka kwa kasi ya kutisha.
Walimu hawathaminiwi kama miaka ya nyums. Serikali inawadhulumu haki zao mbali mbali in billions, mishahara yao ni midogo mno, shule nyingi nchini hazina hata hadhi ya kuitwa choo achilia mbali shukrani. Vifaa muhimu kama madarasa ya kutisha, vitabu etc hakuna na kuna upungufu mkubwa sana wa walimu.
Sasa ukiwa na nyumba yenye msingi mbovu kama huu kamwe usitegemee kuwa na excellent product vyuoni.