Makeup lovers

Makeup lovers

Kuna sijui ni foundation niliikuta kwenye gari ya shemejiyo nikajikandika usoni

Nimetoka chunusi sitamaniki wallah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana.
 
Ninatumia MAC, kwa muda mrefu nilitumia fashion fair lakini nilisafiri na huko nilikokuwa hawakuwa na fashion fair ilibidi ninunue MAC. Kwakweli sikurudia tena fashion fair.

Rafiki yangu anauza Mary Kay, niliijaribu ikareact na ngozi yangu.
 
Mac naipenda sana powder yao ya Mineralize skinfinish ila now nimebadili natumia Sephora micro smooth powder.
 
Sephora sijawahi kuwasikia sikuhizi shopping yenyewe ninafanya ninapohitaji vitu. Nitaitafuta
 
Back
Top Bottom