Makeup lovers

Leo ulimpeleka kisura kununua nini?[emoji14]

Yeah, ndo tumetoka hapo. Alikuwa anahitaji vibanio vya nywele na detangler.

Mpaka nimekuwa “mwenyeji” wa Ulta sasa!

Haya majukumu haya.....basi tu yaani!
 
Yeah, ndo tumetoka hapo. Alikuwa anahitaji vibanio vya nywele na detangler.

Mpaka nimekuwa “mwenyeji” wa Ulta sasa!

Haya majukumu haya.....basi tu yaani!

Mwisho utakua mzoefu utavijua vyote.
 
Kumbe
 
Kuongeza urembo
Mf rangi ya ngozi inatokea moja
Na kuweka manjonjoo
Wanja
Lipstick,masacra etc
I naturally dont trust a woman with make up. Huwa najiuliza "wat else is she hiding?"[emoji1][emoji1]
Hypocrisy ni tabia, huwa naamini hii tabia ina uhusiano na "the love of make up".
 
I naturally dont trust a woman with make up. Huwa najiuliza "wat else is she hiding?"[emoji1][emoji1]
Hypocrisy ni tabia, huwa naamini hii tabia ina uhusiano na "the love of make up".
Si kweli

Baadhi wana shida za ngozi mf madoa,ngozi haifanani nk
Si kwamba wanapenda sana kupaka
Inabidi wajistiri

Baadhi wanapenda kuongezea urembo nk

Hypocrisy ni unafki..kupaka vipodozi ni unafki?.
 
I naturally dont trust a woman with make up. Huwa najiuliza "wat else is she hiding?"[emoji1][emoji1]
Hypocrisy ni tabia, huwa naamini hii tabia ina uhusiano na "the love of make up".

Huo ni uongo.

Mimi napenda makeup kama art zile process Za ku blend ,contour and highlight zinaniburusha

Sina cha kuficha na naweza kusema natural am very beautiful and I love my flaws
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…