Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
No. 3 ni Lulu, nampenda Elizabeth Michael bila make up, she is so cute kwa kweli.Mimi km mwanaume nitasema jinsi navyoona kwa mtazamo wangu mimi..
Kuna makundi manne
1.wanapaka make up haziwapendezi sababu wame complicate mambo km huyo dada hasa wa kwanza.
2.wanapaka make up hlf wanakuwa km hawajapaka make up yaani make up zao zipo simple hazing’ai sana kapaka km hajapaka hivi.Hawa uwaga wanapendeza tena sanaaaa
3.sura zao sio za make up yaani wao ni wazuri bila make up wakipaka unamuona km ndo kawa mbaya hivi kuliko alivyobaki bila make up
4.Sura zao bila make up hawapendezi hawa wanaitaji booster..m
Ninachoamini mimi wanawake wengi wanapendeza wakipaka make simple ila tukirudi mtaani wanaopaka simple ni wachache hence wapaka make up wengi hawapendezagi sababu hawapaki simpe simple,wanapania sana.
No 4 wooooote wanaojiita pisi kali bila make up utawakimbia.