Makiba high school

Makiba high school

Joined
Jul 12, 2013
Posts
27
Reaction score
2
Jamani wadau kwa anayeifahamu hiyo shule anisaidie kuna rafiki yangu wamemtupa apo kachanganyikiwa kwel
 
Jamani wadau kwa anayeifahamu hiyo shule anisaidie kuna rafiki yangu wamemtupa apo kachanganyikiwa kwel

shule ipo rchuga na so mererani fulu ukame utanijibu 2 maj hakuna umeme jiandae na kibatari so fanced vumbiiiii high temprature kaa unaangalia utabr wa hali ya hewa unaonaga k.i.a ndo ipo karb jiandae kuoga mara moja kwa wiki au kama ulishaangaliaga bunge kpndi mbunge nasari akitoa picha kuhusu ukata wa maji ndo location yake ilikuwa huko dah mwana nakuonea huruma dah
 
In short: Ipo Arusha....Arumeru.....kataya Makiba. Panda DCM A.town kwenda Mirerani (A.K.A zaire/vila) : ukifika Ukifika mirerani Panda toyo .a sio T-BBETER wala King LION kufika makiba sec kama buku 3 hivi. Unaweza pia kutokea kikatiti ukaingia Makiba. Au ukitoka KIA kwenda Mirerani .....utashuka njiani kukata kulia.
Nirushie hata buku basi mwanangu maana nimechoka kuandika!
 
Asanten sana hii serikali yetu cjui mtu katoka shule ya kata bado mnampeleka makiba c majanga
 
N rafki yangu ndo wamempanga hko co mimi ila tuko naye khama kama vp chkua namba zangu utantxt nmpe jamaa n 0754748431

kama ataenda hapo ajiandae na blue bahar uniform na shat jeupe ila ngoja niendelee kukupa info. Last year walikujaga kupga frnd match na sisi dah wengi walitamani kubak xcul kwetu ila haikuwezekana waliyapenda mazngira

ila unatakiwa ufikirie labda kwa sasa washaweka miundombinu fresh coz sasa hv inamilikiwa na OWN TAMISEMI kwa hyo kaichek 2

ushaur wangu kusoma ni moyo ndugu yangu
 
Back
Top Bottom