Makinika, aliyetoa kauli kuwa " wachawi wote walishakufa" alilenga kutupumbaza!

Makinika, aliyetoa kauli kuwa " wachawi wote walishakufa" alilenga kutupumbaza!

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Hellow!!

Ni UKWELI kuwa wachawi na wasio wachawi hufa maana hiyo ni Amri Toka Kwa muumba kuwa Kila mwanadamu shart arudi mavumbini.

Sasa juzi hapa Mzee mmoja mtani wangu katoa kauli kwenye umati kuwa,

Wachawi "WOTE" walishakufa, asee kuweni makini ndugu wananchi wenzangu, hivi Kweli huko uswahilini mnalala fofofo bila adhaa ya walozi?

Kwamba tukiwa kwenye vikao vya chama tusihofu kumwachia Jirani kinywaji tuendapo maliwatoni Kwa kauli ya Mzee yule?

Mimi nasema,

Wachawi Bado wapo, maana wachawi wale hatari Huwa hawafi kirahisi maana malipo ni hapa hapa duniani, huchelewa kufa Ili walipe UOVU wao wote waliotenda duniani.

NB: Ni mashaka na hangaiko, wema hawana maisha.

Karibuni 🙏
 
1737489827068.png

Watakaopaa kwenda mbinguni bila kufa
 
Back
Top Bottom