Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kulingana na Biblia kuna vitu viwili huondoa akili ya mtu navyo ni 1. Pombe na 2. Uzinzi.
Wakati huu ni wakati wa mwisho au dakika za nyongeza, watu kama wangetumia vizuri akili walizopewa na Mungu wangeona kuwa sasa ni wakati wa mangojeo. Si wakati wa kuhangahikia mali na fedha na kushangilia vitu upepo .
Lakini shetani ameharibu akili za watu kwa ku upload uzinzi na ulevi kwenye vichwa vya watu.
Hawa wadada wa Facebook, Instagram, X n.k hawaonyeshi makalio, mapaja, chupi, matiti na miili yao kwa bahati mbaya.
Ni mpango mahsusi wa Ibilisi kuwajaza watu jehanamu.
Huwezi kuingia mbinguni na memory yenye uzinzi kichwani.
Kadri unavyoscrol video hizo za ma content creators most zenye maudhui ya utupu ndipo unaharibu akili yako na kujitenga na uwepo wa Mungu.
Hawa wadada wanalipwa pesa nyingi ili tu wakunajisi wewe usiingie mbinguni.
Amka.
It's devil's mission.