Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

UFUNUO 21:8

Imethibitisha juu ya uwepo wa wachawi.

Ikiwa huamini kuwa wachawi wapo, Muulize shangazi Yako Kwa HEKIMA na upole, atakuthibitishia.

Uliza vizuri uambiwe kitovu chako kilipokatwa kilipelekwa wapi.
Mkuu Rabbon

Shangaazi yake ni mchawi mpaka amthibitishie?
 
Ndugu huyu amewakosea sana mbwa na paka bora

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Sema nini, sikulaumu, ungekuwa na akili ungehariri upya chapisho lako .


Wazo zuri, uwasilishaji zero (sifuri).
Elezea wewe Kwa angle unayoijua,

Hapa jamvini, tupo kupeana knowledge.

Hebu tiririka.
 
Elezea wewe Kwa angle unayoijua,

Hapa jamvini, tupo kupeana knowledge.

Hebu tiririka.
Hio heading ya thread yako ulioiweka ingetosha kufikisha ujumbe.

Ulipokuja kuharibu ni kuvipa hatia viumbe vya Mungu.

Zingatia hii misemo .

1.Mchawi mtu paka katumwa
2. Bunduki haiui watu, watu wanaua watu


Kisu kinaua lakini haimaanishi tusikitumie jikoni.[emoji1317]


Mungu akufungue ufahamu sasa mjinga wewe.[emoji3577]
 
Kwa Iringa hutumia sana Panya. Nao ni viumbe vitumikavyo kwenye issue za kiroho pia. Ni antena ya kichawi.
Kuna wachawi humu wanapinga Kwa nguvu Ili wasojua Elimu hii wasitilie maanani,

Pia Kuna watoto ambao shule zimewafanya kutokujua yaliyo upande wa pili.

KAZI yetu ni kufichua Siri za adui, Kupambana katika Ulimwengu wa Roho na kuwahubiri watu INJILI ya ufalme, waokoke.

Ubarikiwe.
 
Najua nilichokiandika.

Wewe ikiwa una Maarifa ongeza.
 
Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea.
"Sijui aliwaza nini Afande Sele kuimba huo msitari?
 
Ulokole ni ugojwa wa akili yaani mungu kamuumba paka na mbwa kwa ajili ya kuishi na binadamu alafu ww unasema watu wasifuge wanyama hao ww kama nani?

Suala la mchawi kutaka kukudhuru sidhani kama ana hitaji mzunguko mkubwa namna hiyo.
Km nakuelewa hivi!
 
Mimi nadhani paka huwa anasaidia sana hasa jirani na makazi yako kuna nyoka,atawapunguza sana.
Kufuga paka au mbwa ni tofauti na kuishi nao ndani ya nyumba.

Wengine wanalala na vijibwa vidogo chumbani.

Mbwa lake Banda nje Afanye KAZI ya ulinzi nje.

Afu wafuga paka wengi ni wachawi, fuga kuku utamla sup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…