Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

Amen 🙏🙏🙏
 
Mna complicate maisha.
Tutafikia kuogopa mpaka vivuli vyetu.

Ukiwa mwenye Imani njema hayo yote hayakusumbui kwani una kila siraha ya mapambano. Hawajifichi kwenye mijusi peke yake au midoli. Hii ya kuua mijusi ni Imani haba.

Utaondoa kila kilicho na uwezekano wa kuwahifadhi?
Tunajiongezea stress zisizo na msingi. Pigana vita yako ya kiroho panapohitajika.
 
Sasa hauoni Biblia imekuambia kuwa umepewa mamlaka ,
Sasa Hofu ya Nini!
unakaa unaogopa mijusi sijui Mbwa Paka hutaki kuwaona😁

Hao ndio walitakiwa wakukimbie Kila wakuonapo hata nyumbani kwako wasiwepo sababu umepewa nguvu na mamlaka na hii Iko hvyo hao unaowaita mapepo hawawezi kukaa Kwa mtu mwenye nguvu na mamlaka
 
.
 
We unasali na Emmanuel TV ya yule mchungaji aliyekufa wa Nigeria kataa?
 
Anayedhuriwa na uchawi ni yule anayeamini uchawi au yeye mwenyewe ni mchawi.Wewe ni mmojawapo.Pia umepata mwanamke anayefanana na wewe.
 
Damu ya Yesu haichanganywi na maelekezo ya kutundika unyoya wa tausi wenye macho kufukuza mijusi,

Ukiamua njia ya Yesu kaa hiyo hiyo, na ukiamua kwingine Baki huko.

Kuchanganya Mungu na miungu ni kujitafutia matatizo.

Ubarikiwe
Usiwe kama pofu ambae haoni anapoelekea

Nimesema unyoya wa tausi nilisikia wakisema mijusi wanauogopa, na haihusiki na imani zozote za Kishirikina
 
UFUNUO 21:8

Imethibitisha juu ya uwepo wa wachawi.

Ikiwa huamini kuwa wachawi wapo, Muulize shangazi Yako Kwa HEKIMA na upole, atakuthibitishia.

Uliza vizuri uambiwe kitovu chako kilipokatwa kilipelekwa wapi.
Bado unaendeleza habari zisizo na uthibitisho! Huo ufunuo umethibitisha Vipi kuhusu uwepo wa uchawi kama sio unanukuu tu kilichoandikwa! Kitovu kinaingiliana Vipi na kuwepo Kwa uchawi ,ukitizama vizuri hoja zako zote zimelalia kwenye mambo ya kufikirika!
 
Ikiwa hutaki kuamini maandiko niloquote,

Na ikiwa hutaki kuamini testimony yangu binafsi niloandika hapa nikusaidieje?

Baki hivyo hivyo.

Maana imeandikwa, ni kheri aaminiye kuliko kutokuamini.
 
Acha ushirikina tafuta hela na elimu...vitakusaidia
 
Ikiwa hutaki kuamini maandiko niloquote,

Na ikiwa hutaki kuamini testimony yangu binafsi niloandika hapa nikusaidieje?

Baki hivyo hivyo.

Maana imeandikwa, ni kheri aaminiye kuliko kutokuamini.
Kamini kitu bila ya uthibitisho ni upuuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…