Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Habari jf
.
CJUI KAMA ILISHATOLEWA AU LAAHA,BUT ELIMU HAINA MWISHO.
Napenda nizungumze na wale walio kwenye mahusiano,wapenzi.
Ni vyema Wapenzi mkawa mnazungumza kwa undani kabla mjafanya mapenzi,hasa kuhusiana na mzunguko wa damu za kila mwezi kw wanawake,hii itaepusha mimba za bahat mbaya,na lawa czokuwa na msingi kam vile mimba cyo yangu n.k.
Weng wetu,hatupend kuzungumza,tunakumbuka baada ya tendo kwisha.
KWA WASICHANA:
Ni bora ukaanza kuwa muwaz kw mwenzio,umuweke waz kuhusu mzunguko wako,ilii nae ajue vyema na ikiwezekana muulize waatalamu jinsi inavyo kuwa.
Mfano,nilikuwa na wauliza wanafunz wa kidato cha 5 wakike shule fulan,kuhus ni wakat gan ktk mp unapata ujauzito,wakasema ukiwa kwenye bleeding,mara cku 2 baada,5 n.k!!
Tukubaliane hata kama tumesoma sana kuna mambo mengine madogo tuna ya puuza na mwisho wa cku tuna umbuka na kujilaumu.
Haya yote yataondoa lawama za kukataa ujauzito, na kujenga uaminifu kiasi.
Pia itasaidia kupanga familia vyema,kama kupata mtoto wa kike,wakiume na idadi fulani,inawezekana.
Karibun kwa maoni, nyongeza na n.k.